Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

leo ndiyo ile siku ya yule mwana yanga wa premier league kule england kuupisha ubingwa nakumuachia nafasi jogoo achukue utawala wake...

NOTE:Kwakuwa yanga alichapwa kulingana na utabili wangu yakinifu ,barca naye akachapwa nikiwa kwenye harakati za kukamilisha utabili leo pia tutegemee mazuri ,tukimshuhudia mwana marundi wa ETIHAD akiwa hoi
 
Right of expression & opinion

Tumia Haki Yako
 
115ad25d-7f80-4a25-8a6e-abbfcdc5064f.jpg
 
Hivi nyie liverpool mnawajua wolves,

Au mnadhani mnaenda kuchukua point tatu, kama mnachukua maperaa

Ni swala la muda tu yatakayowakuta hamtaamin
 
Unakataa ulichoandika mwenyewe!!?umeuliza Kama pep au klopp wangepata matokeo Kama aliyopata poch na kikosi Chake...NIMEKUKUMBUSHA KAMA UNAKUMBUKA KIKOSI CHA KLOPP KILICHOCHEZA NA BAYERN FAINALI KILIKUWAJE!!?
TOT context, sio dot wala blaablaa
 
Channels karibu zote za DSTV zinaonyesha mechi za leo saa 11 jioni
  1. Brighton VS Man. City - 10 na 11HD
  2. Liverpool VS Wolves - 4HD
  3. Leicester City VS Chelsea - 8HD
  4. Tottenham VS Everton - 5HD
  5. Burnley FC VS Arsenal - 7HD
  6. Man. United VS Cardiff City - 9
  7. Goal focus itakuwa Chanel 3HD
Chanel hizi zote isipokuwa 11HD na 3 HD zinapatikana kwenye kifurushi cha Bomba
Nawatakia ligi njema nikitumaini kuwa majeraha ya leo hayatauma sana kwani karibu kitakachotokea kinajulikana

Hongera mshindi wa kwanza na wa pili kwa sababu katika historia ya EPL haijawahi kutokea timu kupata 97 points na asiwe bingwa
This is the best runner-up ever in EPL history
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom