Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Relax, Lol

 
Anajivuniaga pasi zake tu hana cha ziada na the day tulikata mirija yote ya pasi zake kumfikia messi mbaya zaidi hana nguvu na akakutana na machizi mpira wakamvuruga na ukawa ndio mwisho wake
huyu fala mwenye namba 5 alikuwa anazurula tu siku ile akawa anamtegea vidal kukaba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…