Hahahahahahahahah tutawaumiza vibaya sana kwa ile Defence yao inavyokatika vileMkuu Spurs Hamna Kitu pale bado hajakutana na real test kwani kawa hyped baada ya kujipigia Real aliyejichokea.
Ni sawa na Timu Kumfunga Juventus au PSG ukampa promo wakati kwasasa ni timu zisizo na formula.
Spurs hana uwezo wa kutufunga kwenye EPL tuliyo na gundu, aje atufunge kwenye CL iliyo ndani ya damu yetu?
You better do thatSmh!
its my habit to not discuss the technical side of footie pale team yangu inaposhinda, because hata kama kuna errors/mistakes, ushindi huwa unaficha na kuyabeba makosa yote. and thats how it should be.
I can just write an article on how Klopp destoyed Valverde same tacticts alizotumia at Camp Nou, by simply attacking the Barca's fullback phases (1 and 2), and press from half spaces by using Shaqiri as false 3rd pressing MF upande wa kulia. but first and foremost, i'll need to celebrate our 4-0 win against Messi's Barca, with Divock Origi upfront. its just a simple logic dude.
and, its funny, because y'all wannabe fans always pops up team ikipata matokeo mazuri, kwa kisingizio cha kujiita "wasomaji tu".
there's is this old "smart" dude ([emoji23][emoji23]), who once told me kujifunza kuwa 'humble". so i'll just let this pass.
Unaikumbuka timu ya Dortmund aliyokuwa nayo klopp iliyomtoa Barcelona ikaenda fainali vs Bayern!!?au umeanza kumjua klopp akiwa Liverpool!?Mauricio Pochettino ni kocha, we fikiria PEP au Klopp angekuwa na timu kama hii ya spurs angeyapata haya matokeo?
Anachotakiwa tu sasa ni kuhamia kwenye timu yenye bajeti ya kutosha ili aonyeshe uwezo wake
Chelsea na Arsenal hawaaminiki,ila ilitakiwa iwe All English Clubs - UEFA CHAMPIONS LEAGUE Final na All English Clubs - UEFA EUROPA LEAGUE Final.Kuna uwezekano mkubwa Europa na uefa zote zikaenda London!!
Maan vitu vya kuanzia jana mpka leo havikutarajiwa na wengi ...
Soma screen shot iliyoendelea hapo, wameandika semifinalSwali lilikuwa the greatest UEFA comeback of all time, na si swala la UEFA semifinals comeback of all time.
Labda kama utafafanua kwa nini swali hili.
"I think Jurgen deserves this because the work they are doing in Liverpool is fantastic but I think this is about him, a reflection of his personality to not give up, his fighting spirit, every player giving everything.
"He is not crying if they miss one player, he is not crying if they play 50 or 60 matches per season.
"Everything today is about Jurgen's mentality."
Na sisi tunaendelea kusemawote waliokuwa wanamchukulia poa Klopp sasa wameanza kurudisha fahamu zao, miongoni mwao akiwemo Mourinho.
check anachosema hapa baada ya LFC kuwaangushia kichapo Barca...
You never walk alone,Niko pembeni yako nimejaza tissue kibao nitakuwa nakufuta machozi hahahaha hahaha!!!! Looh!! Sasa wote waengland wasaga sumu sijui tushabikie wapi???Final against Madrid sikuwa na hofu kama hii final against spurs
Mtani mbona kujihami haraka hivyo!! Nipo pembeni yako na leso hahahaha!!!Kwangu sikuwa na hofu kabisa kuhusu Ajax
Spurs ni adui anayetujua nje ndani, tulivyocheza naye Anfield ni vile tu muda mwingine mpira ni bahati tukashinda
Both managers hawajashinda uefa
Both players hawajashinda uefa (not sure 100%)
Last season we end up second runner
Wote tuna angry & spirit ndo maana nina hofu
I bet 50/50
Klopp aliwatoa madrid mkuu sio barca..Unaikumbuka timu ya Dortmund aliyokuwa nayo klopp iliyomtoa Barcelona ikaenda fainali vs Bayern!!?au umeanza kumjua klopp akiwa Liverpool!?
Shukrani kwa kunikumbusha mkuu, nilikuwa najaribu kumkumbusha huyo boss kuwa klopp ashawahi kuwa na kikosi Cha kawaida na akawapiga 4-1 timu iliyosheeni wakubwa..so pochettino kajitahid lkn sio level ya klopp.Klopp aliwatoa madrid mkuu sio barca..
Barca alitolewa na bayern goli 7 !.
Madrid akafa 4
Aisee mimi sijaongelea habari za Klopp hapa ila wewe umechomekezea vibaya au umechanganya mada nini?Unaikumbuka timu ya Dortmund aliyokuwa nayo klopp iliyomtoa Barcelona ikaenda fainali vs Bayern!!?au umeanza kumjua klopp akiwa Liverpool!?
Unakataa ulichoandika mwenyewe!!?umeuliza Kama pep au klopp wangepata matokeo Kama aliyopata poch na kikosi Chake...NIMEKUKUMBUSHA KAMA UNAKUMBUKA KIKOSI CHA KLOPP KILICHOCHEZA NA BAYERN FAINALI KILIKUWAJE!!?Aisee mimi sijaongelea habari za Klopp hapa ila wewe umechomekezea vibaya au umechanganya mada nini?
pamoja sana mkuuShukrani kwa kunikumbusha mkuu, nilikuwa najaribu kumkumbusha huyo boss kuwa klopp ashawahi kuwa na kikosi Cha kawaida na akawapiga 4-1 timu iliyosheeni wakubwa..so pochettino kajitahid lkn sio level ya klopp.