Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,594
Mzee baba sipati picha furaha yako ya jana kuona come back
Watu wanauliza comeback ya jana na Instbull 2005 ipi ni the bust
Upo sahihi, Ajax ni mdudu mdogo mdogo lakini hatari sanaWe will beat Spurs left and right!
I dont wanna to face rejuvenated Ajax
Natumai mitetea itataga sasaMajogoo yanayopanda mitetea kila siku , miaka na miaka, lakini mitetea haitagi mayai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Siwezi kuyaogopa.
Bado naiwazia ile kona ya TAA... huyu dogo kumamae wallah... Yaani aliiwahi kimachale then akainyoosha utafikiri katumia rula. Barca wakashtuka tu kitu kiko nyavuni.
Mi nadhani bado naota. Si bure
Genius indeed!The kid is genius PERIOD!
Kwangu ndio tukio la kustaajabisha na zuri kwa mechi ya jana,hata sisi wa man u ilibidi tushangilie tu hakukuwa na namna. Kwako mzee wa K - vant....Bado naiwazia ile kona ya TAA... huyu dogo kumamae wallah... Yaani aliiwahi kimachale then akainyoosha utafikiri katumia rula. Barca wakashtuka tu kitu kiko nyavuni.
Mi nadhani bado naota. Si bure
Bado naiwazia ile kona ya TAA... huyu dogo kumamae wallah... Yaani aliiwahi kimachale then akainyoosha utafikiri katumia rula. Barca wakashtuka tu kitu kiko nyavuni.
Mi nadhani bado naota. Si bure
Tulia tu ndugu,acha watu tufurahi leo,tukijiandaa kubeba Epl weekend.pole saaaaanaNyie hamwezi drop point kwa wolves?????
Yule mtoto kanikosha sana, yaani anaondoka amuachie Shaqir aje apige kona alivyoona Origi kakaa mkao wa kufunga goli fasta akili zikamtuma, maamuzi sahihi wakati sahihiNimefurahi Sana Jana Kushinda, Lakini kilichonisikitisha ni Kitendo cha TAA kupiga Kona iliyozaa goli la 4! Ule ni Uhuni aliowafanyia Barcelona.
Yani beki inataka kujipanga yeye ndiyo kawashtukiza kwa Kona [emoji23] [emoji23][emoji23]
Unaamini ni masikitiko kweli?Wew endelea na masikitiko yako siye kwetu raha