ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,056
Amepumzishwa kwa ajili ya kumsaidia VVD kumkaba Leo MessiNilitegemea kumuona Firmino pale mbele walau kumpa match fitness au kuna taarifa gani kumuhusu.
Amepumzishwa kwa ajili ya kumsaidia VVD kumkaba Leo MessiNilitegemea kumuona Firmino pale mbele walau kumpa match fitness au kuna taarifa gani kumuhusu.
Amepumzishwa kwa ajili ya kumsaidia VVD kumkaba Leo Messi
Tunabeba Uefa na EplKwa mpira mbovu aliocheza barca nyumbani kwake yaani pale anfield anakufa mapema,watu hawata amini.
Me naamini 100% anfield pale barca anakufa tunatinga fainali
asipopitia kipindi cha majeraha",..TAA anakuja kuwa best RB duniani kubali kataa
Huyu bwege mechi kubwa anamuweka benchiTAA anakuja kuwa best RB duniani kubali kataa
TAA anakuja kuwa best RB duniani kubali kataa
Huyu bwege mechi kubwa anamuweka benchi
Ni huyu huyu mkuu inakera sana sana sanaUnamzungumzia TAA huyu ambaye kwenye must win games anaewekwa Bench?
Nilitegemea kumuona Firmino pale mbele walau kumpa match fitness au kuna taarifa gani kumuhusu.
Nieshangazwa sana kwakweli, Gomezi anatoka majeruhi hajapata mechi nyingi za kumuweka sawa, alafu anampanga kwenye game muhimuHuyu bwege mechi kubwa anamuweka benchi
ngapi ngapiTayr ukweli tushaupata
2-2ngapi ngapi
duu dk ya ngapi mdau?