Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tokea niwaone Watu ninaowaamini Kwenye Huu Uzi kuanza Kujisifia Stats kuwa Tumemzidi Barcelona na ni Ushindi Kwetu Kumzidi kwa Stats ingawa katupiga TATU MTUNGI!!!! Imenifanya nikose hamu ya kuutembelea huu Uzi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
well said buttttt wt Klopp bana dont be surprised he wont even look at that angle come June of a serious number 10 like Fekir n.k...we lack that kind of creativity..

have watched Maddison oflate n that boy if he continue working hard wil grow to one of th best young 10 in th game..

Klopp bana he will go for Insigne,Timo,Rabbiot basi..hopefuly preseason can open his eyes again n do another Allison type of deal..
 
braza nakufuatilia sana ila nimegundua na wewe una ka ego flani hivi kama klopp

Basi poa bro haina shida! Tuseme tu Barcelona hatuwezi tumemzidi kwa kila kitu tena uwanjani kwake! Ball Possession, Shots tackles n.k. Yeye kabahatika kupata magoli tu lakini hana uwezo mbele yetu.
Kweli tunatisha tupo vizuri Majogoo.
 
Liverpool ni team ya aina yake, ni team yenye maajabu yake, uliza legend yeyote duniani atakueleza.

Liverpool ni team isiyotabirika na imekuwa aggressive sana hasa unapokuja kwenye mashindano ya mabingwa ulaya.

Sio tamaduni ya liverpool kutolewa nusu fainali, King of comeback ni Liverpool, Libery wa Bayern aliwah kukili kuwa moja ya uwanja asiopenda kucheza ni ANFIELD, ndomana kile kimsemo kinachosema "This is Anfield" hakijawah kuja kwa bahati mbaya, atmosphere ya Anfield ni zaidi ya jehanamu.

Tukutane jumanne hapa mtaenda kuniambia.
 
Wewe labda unaota! Huyo Newcastle ni underdog ataenda kupigwa kichapo cha hasira huku babu yao Barcelona akisubiri kipigo chake cha mbwa mwizi hiyo jumanne.
Wewe Liverkuku tunakupiga hapo hapo Anifidi
 
Haha siku zote ukishaanza kupoteza matumaini lazima uanze kuhallucinate namna hii
Wewe labda unaota! Huyo Newcastle ni underdog ataenda kupigwa kichapo cha hasira huku babu yao Barcelona akisubiri kipigo chake cha mbwa mwizi hiyo jumanne.
 
Basi poa bro haina shida! Tuseme tu Barcelona hatuwezi tumemzidi kwa kila kitu tena uwanjani kwake! Ball Possession, Shots tackles n.k. Yeye kabahatika kupata magoli tu lakini hana uwezo mbele yetu.
Kweli tunatisha tupo vizuri Majogoo.
hivi barca tukimpiga tatu bila matokeo ya extra time yanatakiwa yaweje ili tufuzu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…