ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,636
Alikuwa anapambana kwaajili ya team anayoipenda zaidi sioni tatizo maana ndiyo style yakeAlso Kuna misbehaviour nyingi tu alionyesha uwanjani dhidi ya team yetu, kutaka kumhadaa refa ba baadhi ya faulu, quarrels na wachezaji wetu nk.
hivi hizi bangi zinavutwa na mashabiki wa liver peke yake aubelow stats is a depiction of the extent of our dominance away at the Europe dreaded Camp Nou. I cant recall a team going to this stadium dominating Barca this much.. so i strongly believe 3-0 is extremely harsh on LFC.
but with full throttle, coupled with that intimidating Kop presence in the stands...Barca will not be able to live with us at Anfield.
and I believe we'll be able to score 3 at Anfield during the first 30-40 mins at full throttle.
View attachment 1086189
Wanapitaje kwa mjeruman yule mwenye kina jovic na rebik?kuna uwezekano fainali mkakutana na Aroon.
Mpira haujashuka thamani kiasi hichoAnfield si mahala salama pale na hajawahi kupona mtu.
Nawambieni tunaenda kupiga comeback ya kufa mtu hiyo jumanne.
Ile ban uliyoomba imeisha ?Liverpool ni team ya maajabu! Comeback ipo hiyo jumanne, goli 3 ni chache sana na zitarudi kipindi cha kwanza.
Maajabu ya Instanbul yataenda kujirudia.
Labda kama kupiga Cum back mtapiga sawaAnfield si mahala salama pale na hajawahi kupona mtu.
Nawambieni tunaenda kupiga comeback ya kufa mtu hiyo jumanne.
Kwahiyo Anfield mtampiga Barca 4-0,kichaa peke yake ndo anaweza kuyaamini maneno yako.Anfield si mahala salama pale na hajawahi kupona mtu.
Nawambieni tunaenda kupiga comeback ya kufa mtu hiyo jumanne.
Umeanza kuleta bangi za CHADEMA hapa pole sani ukishindwa comeback fainal Europa game ya Sevilla utamuweza Barca?Liverpool ni team ya maajabu! Comeback ipo hiyo jumanne, goli 3 ni chache sana na zitarudi kipindi cha kwanza.
Maajabu ya Instanbul yataenda kujirudia.
braza nakufuatilia sana ila nimegundua na wewe una ka ego flani hivi kama kloppTokea niwaone Watu ninaowaamini Kwenye Huu Uzi kuanza Kujisifia Stats kuwa Tumemzidi Barcelona na ni Ushindi Kwetu Kumzidi kwa Stats ingawa katupiga TATU MTUNGI!!!! Imenifanya nikose hamu ya kuutembelea huu Uzi.
Pole mkuu wavuta bangi haoTokea niwaone Watu ninaowaamini Kwenye Huu Uzi kuanza Kujisifia Stats kuwa Tumemzidi Barcelona na ni Ushindi Kwetu Kumzidi kwa Stats ingawa katupiga TATU MTUNGI!!!! Imenifanya nikose hamu ya kuutembelea huu Uzi.
HahahahaMpira haujashuka thamani kiasi hicho
Toa sababu kwa nini isiwezekane?Kwahiyo Anfield mtampiga Barca 4-0,kichaa peke yake ndo anaweza kuyaamini maneno yako.
Ye kashasema anafurahi kwani messi atapata ballon d or ya sita ili amzidi ronaldo, ndo raha ya kua shabiki wa liverbraza nakufuatilia sana ila nimegundua na wewe una ka ego flani hivi kama klopp
Tutapiga nyingi sana pale...kuna uwezekano fainali mkakutana na Aroon.
Inashangaza sana...ukweli ni kwamba vijana wamepambana kadiri ya uwezo wao hivyo lazima tuwape heshima inayostahili ukizingatia bado kuna 2nd leg anything can happenYe kashasema anafurahi kwani messi atapata ballon d or ya sita ili amzidi ronaldo, ndo raha ya kua shabiki wa liver
Hahahaha! nimeona umetupia kitu cha Bill Shankly hapo haha, Top red material ile hahahah!Hahahaha, hili jukwaa nikikuta chambuzi zako na za waungwana wengine humu nashiba na mimi nakuwa mchambuzi kitaani, hahahahah
Kama Malafyale, hahahahhahaHahahaha! nimeona umetupia kitu cha Bill Shankly hapo haha, Top red material ile hahahah!