Kumbuka hawakuwa na coutinho wala lenglet wala vidalMwaka jana AS Roma walimuondoa Barca kwa staili ngumu
Cam nou Barca alishinda 4-1
Roma akashindwa kwa 3-0 na kutolewa wachezaji hawa hawa
Kipa wa Roma alikuwa ni huyu huyu wa Liverpool, Alison
Liverppol wamtumie Alisson maana siri ya ile comeback waliotumia Eusebio De Francesco mwaka jana anaijua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jana ulikuwa unaongea kama binti flani ivi mchepuko ulieolewa ukatoa na tigo Kwa mmeKwa jana VVD amehitahidi sana.
maana kuna wakat messi alikuwa anaaimamisha dribble zake kabisa. Anasubiri watu kitu ambacho sio kawaida yake.
Ata magoli yalikiwa hayazuiliki kabisa. I wish mtapoteza kombe zote.
Ila well done foe first half yan ingekuwa japo 3:1
Hapa ndio akili yako imeishia.? Umeshindwa kujipanua kidogoKatika ya matako labda
Hahahaaa duh,hadi magoliIPO juu yetu kwa kipi labda,tumekutana Leo statistcs zinaonyesha tumewazidi karibu kila kitu.insu hapa no klopp ndio kazingua
Hapa ndio akili yako imeishia.? Umeshindwa kujipanua kidogo
Beki ni mbovu ila goal keeper ni habari nyingneHivi hizi free kicks anazopigaga Messi na kuingia nyavuni huwa ni suala la kocha anafundishaje au ile ni Natural Instincts tu za Messi?!
Ule mkwaju wa Messi jana yadi 70,ananyoosha mguu mpira unatembea hadi pembeni juu mpaka kipa anaukosa hadi kambani...
Yaani ile Messi najiuliza anafanyia mazoezi mara ngapi?! Jamaa anajua mpira...nahisi hata kina Maradona hawakufikia uwezo na maajabu haya.
But,beki ya Barca ni mbovu mno...
Liver wangekuwa makini haswa Mane na Salah wangepata goli mbili muhimu jana.
Sioni Barcelona ikiizuia Liverpool second leg kupata goli...tena wakizubaa zinaweza rudi zote,japo nao Liver kumzuia Messi asifunge nayo itakuwa ni another task.
Anyways,timu bora imeshinda jana...
Shikamoo Messi bila kumsahau Mnyama Suarez....jitu liko on fire sana.
Vipi Van Dijk jana alikuwa benchi ama, sikumuona!!
Ni kweli mkuu, hapo Anfield kutakuwa na funga nikufunge sijui kama Liverpool wataweza kumaitain goals diference ya 4 maana ndiyo hiyo itakayowawezesha kuendeleaKuna hii ngoja nikwambie. Sijasema barca wepesi. Nimesema beki yao ni nyepesi sana kwa kulinganisha na striking force ya Liverpool nilitegemea lazima angepata goli la ugenini. Kumuanzisha Vidal kunaweza kuwa na impact kwao Barca wenyewe lakini ni nafasi ngap Liver walipata wakashindwa kuzitumia.
Tatizo lingine unapocheza na Barca jua kwamba tayari wao wana goli moja mkononi yan ni lazima wakufunge ni sawa na unapocheza na Man au Madrid za msimu huu jua kwamba lazima umfunge goli haijalishi atakufunga ngap ila jua timu pinzani tayari ina goli kuanzia moja.
Nina uhakika Anfield Liver anashinda ila shughuli ipo kuwazuia wasipate goli wao. 2-1, 3-1/2.
Hallelujah, everybody say yeeeeeeehh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnarudia rudia tu jamani. Kwa walioangalia mpira live, Barca walikuwa kawaida tu ila tatizo alikuwa ni Messi. Hii ilishasemwa vizuri huko nyuma. Ndio maana Liverpool inabidi waombe Messi augue. Walahi nakuambia Barca-Messi is nothingTimu ya kawaida inakufunga 3-0... anakuja Anfield kukulamba tena
Barca hawana beki wazuri, wanategemea sana mbele wana washambuliaji wazuri wenye uchu mkubwa wa kufungaSijuagi mnatumia kigezo gani kusema beki ya Barca ni nyepesi nahisi mko brainwashed tu
Allison awe kocha basiMwaka jana AS Roma walimuondoa Barca kwa staili ngumu
Cam nou Barca alishinda 4-1
Roma akashindwa kwa 3-0 na kutolewa wachezaji hawa hawa
Kipa wa Roma alikuwa ni huyu huyu wa Liverpool, Alison
Liverppol wamtumie Alisson maana siri ya ile comeback waliotumia Eusebio De Francesco mwaka jana anaijua
Ile iliweka curve, kwanza ilionekana inatoka nje, ilipokaribia goli ghafla ikarudi kwa spidi hata ungewaunganisha Alison+Degea+Kepa+? wasingeweza kuufikia ule mpiraHivi hizi free kicks anazopigaga Messi na kuingia nyavuni huwa ni suala la kocha anafundishaje au ile ni Natural Instincts tu za Messi?!
Ule mkwaju wa Messi jana yadi 70,ananyoosha mguu mpira unatembea hadi pembeni juu mpaka kipa anaukosa hadi kambani...
Yaani ile Messi najiuliza anafanyia mazoezi mara ngapi?! Jamaa anajua mpira...nahisi hata kina Maradona hawakufikia uwezo na maajabu haya.
But,beki ya Barca ni mbovu mno...
Liver wangekuwa makini haswa Mane na Salah wangepata goli mbili muhimu jana.
Sioni Barcelona ikiizuia Liverpool second leg kupata goli...tena wakizubaa zinaweza rudi zote,japo nao Liver kumzuia Messi asifunge nayo itakuwa ni another task.
Anyways,timu bora imeshinda jana...
Shikamoo Messi bila kumsahau Mnyama Suarez....jitu liko on fire sana.
Vipi Van Dijk jana alikuwa benchi ama, sikumuona!!
Hahahaha pole mkuu leo sivioni vingerezaFinally Mumeanza kupungua kwani munatuletea Shida.
Acha tubaki wenyewe
Sasa kwani kuna uspecial wowote mliouona pale kwa mpira wao kiasi kwamba mshangae sana.atalamba km utacheza kwa mdomo.bahati ilikua kwao jana sio uwezoTimu ya kawaida inakufunga 3-0... anakuja Anfield kukulamba tena