Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Upo sahihi kabisa ,msimu huu nyota imemuwakia tena
 
Timu nzuri sana ya liverpool kwa imefungwa sawa na timu mbovu sana ya utd at nou camp.
 
Tulia ww hakuna jipya apo fainal Ajax vs Barca ndoo anabeba Barca wale watoto kitakacho wauwa uzoefu hawana dakika za mwisho wataachia messi atawauwa nyingi sana

Man city ndyo bigwa epl hakuna wa kumzuia na ballon d'or anachukua king Messi over
 
Ni kweli mkuu.
Ila tatizo bora ajax kuliko spurs.
Na ajax hana chakupoteza.
So anything can happen.
 
Pale kwa Salah wangemweka Bokko angalau matokeo yangekuwa mazuri, si mnajua Bokko anafanya nini pale kwa mnyama
 
We call it SADISM. They are all bunches of sadists. They are in peace when they see the higher level/higher class fellows suffer.
ukifungwa bwana hadi mashabiki wenye timu mbovu - wanaona ndo wakati wa kupunguza machungu
#arsenal fans
#real madrid fans
#chelsea fans
#red devil fans
 
Hallelujah, everybody say yeeeeeeehh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kasalimu amri
Huyu jamaa muda sana aliyaona haya walikuwa wanampinga
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…