Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

In klopp we trust? Sawaa
 
Wadau mnakumbuka neuer yule kipa wa bayern alivomsema messi hawez akamfunga kilichotokea anakijua vzr

Smalling akasema dawa ya messi anaijua hahaha sasaivi anajuta kuongeaa

Beki bora VVD alisema wamejipanga kumkaba messi ila akageuka kuwa MPENZI MTAZAMAJI..

Point ni kwamba Messi hapend dharau he's unstoppable
 
Jürgen Klopp:

" Two goals were okay but the third goal from Messi... My God..."
 
Mwalimu : Kutokana na muda kwenda Sana na wanafunzi wengi Hawapo kama King Ngwaba,Don,Pension na wengineo sasa kwa leo ningependa tuishie hapa Barça 3 Loserfools O kesho tutaendelea na kipindi Ila naacha home work hii ."Losers walisukuma ukuta kwa Kani ya Nyutoni 99 na umbali ambao ukuta umesogea ni meta 0 .Je Losers wamefanya Kazi kiasi gani ?
 

Mfukuze muajiri wewe kocha wako unayemuona bora.unamuondoa klopp unamleta kocha gani?

Kila timu inamtaka klopp wata sema tu hapa jukwaani ila kila timu inataka kuwa na huyo kocha.

Kila timu inajiandaa kulingana na mapungufu yake,kutokuchukua kikombe sio kocha hapo tu hapo wakumlaumu kikosi akitoshi kiongezwe nguvu kidogo.
 
Mi ni Chelsea fan kaka, uwe realistic kaka, kuna jamaa yangu kanipigia simu kaongea ukweli kabisa kuhusu Liverpool ilivyokuwa inastahili ushindi lkn kadai Klopp hana bahati kabisa na makombe.

Kwenye ukweli tuwe wakweli ili tuwe huru.
Uwage unaona aibu kuongea ujinga mbele za werevu ety bahati unajua bahat ni nn?
 
Hiyo siyo philosophy ya Barca, Barca huwa ni ball position kwanza, hv hata ww ulitegemea kuzidiwa ball position Nou Camp kabisa?

Utakuwa hauko sirias kijana
Leo goal yao kubwa ilkua n pts 3 na ndo wamefankiwa.....
Mpira tactees bro....
Ndo maana kocha anakuepo kuelekeza kwmba leo kifanyike nn kulngana na timu 2nayocheza nayo.....
Ingekua mfumo wa barca ni dynamic bas wangepgwa na tim kbao et
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…