Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,516
- 14,244
Kuna mmoja nimemwambia "AMANI YA BWANA IWE JUU YAKO" sikumbuki kilichonitokea nimekuja kupata fahamu baada ya masaa mawiliMtazame shabiki wa Livapuru popote ulipo, mkumbatie kisha mwambie HAKIKA WEWE NI MSHINDI[emoji28][emoji28][emoji28]
Walikuwa wanajiamini mno hawa dagaa wabichiTatizo waliingia na matokeo mfukoni
HahahahaLiverpool ni man u iliochangamka
Hahahahahahahaha acha afurahi kwa leo maana kesho VALENCIA hamuachi salama hahahahahaLingekuwa lile pazia lako LENO ndio lingeufata sio
Nne watafunga ila ni 4 Kwa 3 au 2liverpool kwenda kuwafunga Barcelona pale Anfield nne bila ni ndoto za mei mosi wafanyakazi kuongezewa mishahara
Mimi mwenyewe hakuna timu siipendi duniani kama Barca ndio maana leo nikawa mshabiki feki wa livapuru lkn goli la tatu Messi alivyoshinda nikashangilia tu yaani automatic mwili ukaniambia wewe kijana kwa nini ujitese basi tokea muda huo nikashabikia rasmi Barça mpk mpira unaishapension Goli la 3 la Messi hadi Klopp meno nje nje wewe nani unune??
[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1085910
Hahahhahs[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Liverpool ni man u iliochangamka
HallelujahMimi mwenyewe hakuna timu siipendi duniani kama Barca ndio maana leo nikawa mshabiki feki wa livapuru lkn goli la tatu Messi alivyoshinda nikashangilia tu yaani automatic mwili ukaniambia wewe kijana kwa nini ujitese basi tokea muda huo nikashabikia rasmi Barça mpk mpira unaisha
Hahaaa wewe jamaa unanichekesha,ila huyu jamaa bora apate penati, sio faulo maeneo yaleMimi mwenyewe hakuna timu siipendi duniani kama Barca ndio maana leo nikawa mshabiki feki wa livapuru lkn goli la tatu Messi alivyoshinda nikashangilia tu yaani automatic mwili ukaniambia wewe kijana kwa nini ujitese basi tokea muda huo nikashabikia rasmi Barça mpk mpira unaisha
Kocha wa Liverpool hana bahati kabisa, ukiangalia mechi ya leo vzr ni 60% Liverpool walistahili kushinda kabisa.Mimi mwenyewe hakuna timu siipendi duniani kama Barca ndio maana leo nikawa mshabiki feki wa livapuru lkn goli la tatu Messi alivyoshinda nikashangilia tu yaani automatic mwili ukaniambia wewe kijana kwa nini ujitese basi tokea muda huo nikashabikia rasmi Barça mpk mpira unaisha
Wanakutana na Dani Parejo Messi wa ValenciaHahahahahahahaha acha afurahi kwa leo maana kesho VALENCIA hamuachi salama hahahahaha
Wewe unashinda? Huyo alisema mess atammudu, nikawa namsubiri tuHahahahahahahaha acha afurahi kwa leo maana kesho VALENCIA hamuachi salama hahahahaha
Mkuu Penison akae kwa kutulia ...au siyo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Relax
Alitamba sana akasahau barca ni wakawaida ila wana messi anazijua mechi kubwa kuzimaliza kwa sekundeMkuu Penison akae kwa kutulia ...au siyo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio mjue hawatotokea tena watu kama kina john Terry,nemanja vidic na rioView attachment 1085902
Hii ndo maana halisi ya MPENZI MTAZAMAJI[emoji28][emoji28]
Kesho ndio tunarejea kwenye reli, hata muhind kawaua hao wa Spain ,kama unajiamin muue arsenal , na uweke mkeka hadharanWanakutana na Dani Parejo Messi wa Valencia
Kabisa barça hadi wakawa kama wanapaki basi kimtindo mimi naona kikosi pamoja na Subs aliyumba Firmino alitakiwa sub yake aingie mapemaKocha wa Liverpool hana bahati kabisa, ukiangalia mechi ya leo vzr ni 60% Liverpool walistahili kushinda kabisa.
Ni kweli mliwashia hasa dk za 50-60Timu imecheza vizuri sana tuliwazidi barca kila kitu,mbinu ya kumueka gini kule pembeni imefanya kazi.klopp alikuwa na mbinu nzuri kabisa .
Washambulia wamenzingua wanakosa magoli ya wazi halafu wanakuwa na wasiwasi kwenye kufunga,tunashindwa kufunga hata nafasi za wazi.
Na pia Kuumia kwa keita pia kumechangia,Henderson alivyoingia akaalibi awezi kudrible yeye anatoa passi tu .
kipindi cha pili mwanzoni barca wakawa wanautafuta mpira kwa torch .barca walikamatwa kila engo.
Timu imecheza vizuri sana,nafasi za kufunga tunakosa,me sikuwa na pressure ya kushambuliwa kila wakati maana muda mwingi Liverpool ndio anamiliki mpira.
Kikubwa kwenye kuscore tu forward zetu zimeonekana kupoteza umakini .
Barca wakawaida sana hawana mpira wowote wa kutisha. In klopp we trust.