Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wanazarau hivyo vikombe vya futuhi, tofauti na PEP anakomba yote, kombe la mfalme, Karabao, na sasa FA na EPL yote PEP atazibeba hana mazarau, ila Livber wana mazarau sana na hivi vikombe vidogo
Matokeo yake mwaka wa 10 huu bila taji lolote
 
Walikuwa wanasema Barca hiana beki za kuwazuia
 
Mkuu msimu huu hubebi chochote ,nilikwambia acha ujuaji tulia ,kazi kunisumbua kwenye Uzi wetu

Nyambaf

3-0 , EPL man city hapotez kitu
sema mkuu na wewe ulipotea humu.

Vipi,unaendeleaje na majeraha yako maana ulipasuka pasuka kichwa tukahisi huponi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]okay, mlale salama.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleni sana japo mlijiaminisha ujinga. Gemu vs Huddersfield mkajipa matumaini hewa ya kuifunga Barcelona.
Msipo kuwa makini kwenu mnakufa tena.
 
hivi unaanzaje kufunga nne alafu wao wamesimama tu?
kibaya zaidi anfield liver atakuwa anafukuza mchezo, watalazimika kusonga sana mbele na magepu ya nyuma ndio zile kaunta walizokosa kina dembele sasa sidhani oama messi na suarez watakuacha.
Pale Anfield siyo ajabu watapigwa 3 kavu tena....na epl wikiend hiii wanaeza fumuliwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…