Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
,[emoji23][emoji23][emoji23] legends wanasemaa "Football is Not a game played on papers"Hamna team ya kumsumbua Liverpool kwake kwa sasa hapa duniani!
Hata Barca akija Anfield atapigwa!
Huyu mmoja unempata wapi mkuu,wakati uk tu kabka ligi haijaanza waliweka 25,tho niian kuna wengine walicash out ila washindi ni wengi dunia nzima,tho majina yao kutajwa ngumu 'privacy'ilikua
muujiza umeushuhudia Leicister kuchukua ,hata wacheza kamari majuu tena wakongwe waliliwa maana katika watu 5000 waliobeti ni mmoja alisema wataupata ubingwa hivyo utulie hivyo hivyo tufanye yetu.
It's a thing to discuss niqqa. Unampa pole Liverpool ameshajikatia ticket ya UCL next season. Akikomaa anacheza fainali ya UCL back to back. Wakati wewe team yako hata haijui itamaliza nafasi ya ngapi this season? Are you serious?Leo ni siku nyingine guardiola anaenda kuvunjilia mbali matumaini ya liverpool kuchukua epl kwa kuwapiga burnley gori 3-0 bila wasi wasi
Livepool poleni sanaa
KILA MTU ASHINDE MATCH ZAKE..
Klop hana historia ya kufika final na kuchukua kombee ,toka dortmund final zote anapotezaIt's a thing to discuss niqqa. Unampa pole Liverpool ameshajikatia ticket ya UCL next season. Akikomaa anacheza fainali ya UCL back to back. Wakati wewe team yako hata haijui itamaliza nafasi ya ngapi this season? Are you serious?
Kabla hujaondoa kibanzi katika jicho la mwenzio angali kwanza boriti ndani ya jicho lako.
Tim gani iko home??Manure will beat/Draw Chelsea today
Tim gani iko home??
I think chelsea will win
Man City will beat/Draw Burnley today
Weka sababu za msingi.City anakula sare yake ya 1-1
Hatuna game ya kupoteza kwa sasa amini tu hata ka unaumia sisi kushinda.Man City will beat/Draw Burnley today
Tutakuwa tumeweka historia nyingine nyingi tofauti. Hiyo ni mafanikio pia.Hivi itakuaje wazee wa melwood tukikosa kombe lolote mwaka huu?(epl na uefa)
Lolote linawezekana, Turf moor haijawahi kuwaacha watu salama kiulaini wakaze matako pale.Leo ni siku nyingine guardiola anaenda kuvunjilia mbali matumaini ya liverpool kuchukua epl kwa kuwapiga burnley gori 3-0 bila wasi wasi
Livepool poleni sanaa
KILA MTU ASHINDE MATCH ZAKE..
Weka sababu za msingi.