Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuwa mbinafsi sio tatizo sana,inshu Ni pale unapokuwa mchoyo halafu unaicost timu kwa kutofunga unapofanya uchoyo..Sina tatizo Kama ukiwa mchoyo halafu unafunga.
kwa vile hatuna natural straika t just natural kua a bit hungry to score for this boys na ubao unasoma wanafukuzana kiatu cha dha, na sio kwamba hawatoi assist ila ni pale wanavyoona kuna a chance to shot n score wanafanya hivyo...

na Klopp kwa kujua hilo hua anamuweka Bobby Firmino as false nine ili kuweka balance na to bring out th best in this two boys maaana Bobby sio mchoyo n he meks them tick at thier best..
 
Don anamchukia sana Mo Salah ndo maana anamuona mbinafsi ,ila Mo Salah ana goli 21 na Assist 8 wakati Mane goli 20 assist 1 msimu huu, hapo nani mbinafsi? Mwenye assist 1 au assist 8?
 
Nakubali 100% mbinu za Pep EPL zilifanya kazi mwaka jana lkn mwaka huu zimeshindwa,kama anachukua tena EPL ni Liverpool kujilaumu sisi wenyewe!
Sare mfululizo zilizo irudisha sana nyuma Liverpool za WHU,LC,Man U na baadae Everton zilisababishwa na mbinu za Pep?
Nonsense at all!
Mwaka jana pep aliifunga Liverpool mara moja katika gemu nne na sababu ilikuwa Red card, lakini mwaka huu hata Liverpool angecheza na city gemu tano asinge weza kushinda hata mmoja pep alimzidi mbinu klop, je hata hili dogo hatuwezi kumpa credit pep
 
Don anamchukia sana Mo Salah ndo maana anamuona mbinafsi ,ila Mo Salah ana goli 21 na Assist 8 wakati Mane goli 20 assist 1 msimu huu, hapo nani mbinafsi? Mwenye assist 1 au assist 8?
Aisee sijawahi mchukia salah ila kipind anazingua huwa siwezi kuwa mnafiki an nadhani hata anapofanya vizur huwa nampongeza vilevile...an Kama hukuwa unaona anavyozingua salah hapo juz Kati basi mm siwezi kukuaminisha nachoamin mm...SIMCHUKII MCHEZAJI YYT WA LFC NI VILE NATAKA MAZUR YA TIMU SO MCHEZAJI AKIWA CHINI YA KIWANGO/HARI NI WAJIBU KUMKUMBUSHA.
 
Mwaka jana pep aliifunga Liverpool mara moja katika gemu nne na sababu ilikuwa Red card, lakini mwaka huu hata Liverpool angecheza na city gemu tano asinge weza kushinda hata mmoja pep alimzidi mbinu klop, je hata hili dogo hatuwezi kumpa credit pep

Hapo hupo sahihi! Pep tunhekutana naye kipondi hichi nayeye pia asingelitufunga! Kumbuka Kuwa Kipindi tulichokutana na City katika Game zote 2 hatukuwa vizuri.

Kipindi alichotufunga (January) ndiyo kipindi tulichotoa Draw 4 kwa timu ambazo kiuwezo zilikuwa dhaifu (Leicester, West Ham, Man United na Everton). Hii inaonesha hatukuwa katika hali nzuri.

Lakini angelitukuta katika kipindi kama hichi basi tungelimfunga kama tulivyomfunga Bayern, Chelsea na Spurs.
 
Au yule Msemaji wa enzi za Muamar Gaddaff,
yule waziri wa habari wa iraq wakati wa utawala wa saddam alikuwa kiboko kwa kuwapa wananchi na jeshi la iraq matumaini ya kushinda vita yani jeshi la marekani tayari lipo baghdad lakini yeye anasema majeshi ya mvamizi tumeyateka na tunayapa matesho ya kutosha huko jangwani,jamaa yangu malafyale ndio yupo vile kwani kila mechi ngumu ambaye tulidhani mancity ata drop point city bado anashida lakini jamaa yetu bado hakati tamaa ya city kudrop point
 
Fastest Liverpool goal in Premier League history! Good for him and for us.
Needs more game times to be the real one
 
Then next season we've to build a Much stronger team than ever

Msimu ujao naona hakuna timu ya kutufunga,msimu uliopita tulikuwa nafasi ya nne.

Kabla ya kuanza msimu watu wakawa wanatabiri Liverpool msimu ujao atachukua ubingwa epl 2018/2019,

Sasa timu imeshika nafasi ya 4 ,msimu ujao wachukue? Kwanini hawakusema timu iliyoshika nafasi ya pili au ya tatu?

Unawezekana kuna uwezo waliuona kwa Liverpool.

Hata mimi ndio maana nasema msimu ujao hakuna timu ya kutufunga epl.kuna tutamaliza ligi bila kufungwa.

Msimu wa 2008/2009 tulimaliza ligi tumefungwa mechi 2 tu na spurs na mido,

Baada ya hapo waliosaidia timu kufikia hapo waliuzwa (alonso),kwa sasa hatuna ujinga kama huo na hata wachezaji wanafurahia maisha ya anfield.
 
Liver big problems ni kuja kumalizana na worlves

Mechi nyepesi kabisa hiyo,nyumbani kwa wolve tuliwafunga mbili bila kwenye ligi, na wakati karibia timu zote kubwa zote zimeshindwa kuchukUa point tatu pale nyumbani kwa wolve.

Kingine mkuu wolve anakuja anfield,anfield pale sio mahali salama,Liverpool ya sasa wachezaji wake wote wamerudi hakuna majeruhi.

Huyo wolve mbabe kwa timu nyingine hizo sio Liverpool ya msimu huu.liverpool kwenye ligi mpaka sasa kafungwa mechi moja tu duh!.kwa akili yako kwakuwa auangalii mechi unajua Liverpool inabahatisha kama timu zingine tia maji tia maji,

Nauwakika pale anfield wolve anakufa sio chini ya goli mbili bila.
 
Mwaka jana pep aliifunga Liverpool mara moja katika gemu nne na sababu ilikuwa Red card, lakini mwaka huu hata Liverpool angecheza na city gemu tano asinge weza kushinda hata mmoja pep alimzidi mbinu klop, je hata hili dogo hatuwezi kumpa credit pep

IMG_5152.JPG
 
IMG_5153.JPG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom