Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_5149.JPG
 
Kuna kipind watu walisema clyne n bora kuliko TAA
Of course they were right kwa kipindi kile na TAA aliflopp kiasi cha kusema Milner acheze,. nafikir ni TAA alipotoka injury",..

Ila kiukweli ni pressure ilizidi kwa kops",. kwa sababu last season TAA alimuweka Clyne bench.

Mf. past ten matches walisema Salah apigwe benchi anazingua', ila ukiwauliza kwa sasa watakujibu majibu tofauti.

Ni vipindi na vipindi hasa timu ikiwa kwenye pressure kubwa kama yetu ya sasa hivi",..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom