Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Mohamed Salah makes his 100th appearance for Liverpool tonight. He's found the net 67 times and assisted 28 goals. Crazy.
Now 68 time and 29 assists
Mohamed Salah makes his 100th appearance for Liverpool tonight. He's found the net 67 times and assisted 28 goals. Crazy.
Rodgers inabidi atusaidie ili tumsamehe na zile tactical plan zake za 2014 za kumalzia msimu zilizoicost liverpool(I hope leicester will do something for us)Mungu tuepushie Mkosi huu! 91 Points without title?
Mane na Salah wasitoke, waangalie fursa ya magoli zaidiNi muda wa kuwapumzisha wachezaji wetu muhimu. Hii game ishaisha. Jumanne tuna game kubwa sana dhidi ya Barcelona.
Tulia kombe hamuwezi pata ata Kwa kurogaMungu tuepushie Mkosi huu! 91 Points without title?
Mkuu kuhusu TAA concept haikuwa hivyo.. The boy is good offensively but defensively (sometimes) huwa ana struggle especially at the start of the season amestruggle sana..Kuna kipind watu walisema clyne n bora kuliko TAA
Very useless man! Very few people do notice this thing about himLovren, what a terrible centre back
Huyu jamaa ni tatizo kubwa sana.Lovren, what a terrible centre back
Hahahahahah, mkuu huu sio utani?Lovren, what a terrible centre back
Huyu jamaa inabidi aondoke na mpira wake leoMane mane