Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

bado ninaamini match ya mwisho kati ya brighton na man city itakuwa draw-na hapo ndipo tutakuwa wabingwa wapya wa EPL
 
Chelsea ndo timu pekee top six iloyogawana point na Man City( mabingwa wapya wa EPL) kwa Arsenal kapita na Point 6, Man united kapita na 6, Liverpool kapita na point 4.

Sasa kama Wewe Liverpool umeambulia point moja tu kwa City, usitegemee msaada wa Burnley au Leicester ndo ukupe ubingwa ..wewe ulishakwisha haribu kitambo tu ..draw zako na Everton, Leicester, na Man u ndo zitakunyima ubingwa ..ivyo pambaneni tu na eufa kule mnaeza shinda hata gemu moja japo possibility ya kumwin Barca ni ndogo sana.

Mimi narudia kisema tena, Liverpool iloyokuwa bora kabisa ..bado haijajianda kubeba ubingwa, wakina Mane na Salah hajawahi kuonja utamu wa ubingwa ..ni sawa na mwanamke ambaye hana mtoto ..hatajua uchungu wake, anzeni kwanza kuchukua haya makombe mnaita ya Mbuzi ndo mfikirie ubingwa..

Liverpool not ready to win the title - David Moyes.

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Haha mkuu naona umewaamulia
 
Klopp: "We will not sign Lorenzo Insigne. He's a very good player, and he has a long term contract at Napoli. We will not even try it."
Klopp kwa kauli hiyo ya Lorenzo Isigne alishawahi kuiongea kwa Chamberlain mwisho wa siku akamsajili.
Klopp aliulizwa pia changamoto alizozipata kuchukua timu katikati ya msimu na je nini anachotakiwa afanye Solskjaer ili kuweza kufanya mambo yawe mazuri pale Man United??... Klopp alijibu kwamba hao hawajatusaidia kwanini sisi tuwasaidie???
Alikuwa anawategemea utd
 
Nashangazwa na mashabiki wa timu pinzani na baadhi ya mashabiki wa Liverpool kuipa ubingwa Man City wakati ligi bado haijaisha.Kifupi katika mechi 3 zilizosalia timu yoyote kati ya Liver na City inaweza beba ubingwa.Tukumbuke mwanzoni mwa miaka ya 2000 iliyokuwa timu bora ya Arsenal ilifungwa katika mechi ya mwisho ya ligi na timu mbovu Leeds United iliyokuwa ikipigania kutoshuka daraja na hivyo kukosa ubingwa.Hivyo nawaasa mashabiki wenzangu wa Liverpool kutokata tamaa kwani lolote laweza tokea tusubiri mpaka mechi ya mwisho ndio itaamua nani atakuwa bingwa wa Epl.
Mkuu kutoka 2000-2019 ni miaka imepita apo ...Man city haezi fanya mistake kama izo, historia ipo ili itufunze bana...

Wewe jua tu ubingwa ushakosa.
 
Tukishinda mechi ya Chelsea tuanze kushona suti Man City kachoka ushindi anapata kwa bahati tu,liverpool halisi tutulie mambo mazuri yanakuja..maneno haya yalisemwa humu
Liverpool HALISI tutarajie mambo mazuri.
 
Mnasema city atadrop point kwa lecister city, au burnley

Hivi nyie mnajua moto wa wolves, muulizeni arsenal janaa
Wao wana 89 points wale wana 88 points. Point moja ni kubwa sana inapofika hatua kama hii ..wakati wanawaza man city kudrop point wanatakiwa pia kuwaza na wao kudrop.
 
Jumapili inyeshe mvua au lipige jua nasema hivi" CITY ATAENDA KUDONDOSHA POINT atake asitake.


LIVERPOOL NDIYE BINGWA MSIMU HUU, nipigwe mawe mpaka nichakae endapo hili halitatokea.
Anadondosha alafu nyie hamdondoshi? Jana ndio tegemeo lenu limeenda na maji. Timu zilizobaki kwa mancity zitakula furushi la magoli.
 
Haya makundi mawili "Liverpool asili" na lingine sijui mnaliitaje yameanza lini!? Sisi wageni tu comment upande upi asili au huo mwingine? Naomba mniambie huo upande mwingine unaitwaje
 
Gomes for RB?
no man TAA when on song is th right choice vs Catalonias...

Hopefuly on that particular day he raise to th occasion...

Gomez il defend better but he is bit slow going forward n also TAA is good at delivering th balls at th box more better than Gomez..

for now Gomez should settle for the bench, with TAA, MATIP,VVD,ROBBO they are well settled n give us Fabi to cover them n t complete units..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom