Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahaha, so tamko la David Moyes ni SI Unit kwako?

Energy unayoitumia hapa ingeweza kusaidia Chelsea kucheza UEFA next season, ila ndiyo hivyo, ni bora mshinde kwa majirani maana home kwenu hakueleweki.

Halafu ukumbuke, ukiona adui anakusifu jua kuna mahali unakosea, ila akiponda jua unamtesa.
jibu lako zuri sana kama ana akili ya kutafakari ila kwa kuwa yeye ni empty set huenda asipate cha kujifunza
 
Kocha bora bila makombe unakuwa bado hujadhibitisha ubora wako..hana tofauti na Sarri kwa sasa. Au tuseme msimu ujao utakuwa wa kwake? Kama msimu huu timu haziko vizuri zaid ya man city tu anaelekea kushindwa itakuwaje kwa msimu ujao timu zikijipanga?

Klopp Out....
hata CCM nao utawasikia wanapiga kelele hivi hivi "Mbowe out!"..... utadhani ndiye mwenyekiti wao!
 
Whateva th outcome il be hope we keep our main players n sign direct 1st 11 players to have th right squad to challenge all for th grabs come next season...

In everything give THANKS...IF MOTHER LUCK GIVES US EPL TROPHY I WILL SAY THANKS, IF WE ARE BLESSED WITH UCL TROPHY WILL SAY THANKS, N IF BOTH ELOPE WILL STILL SAY THANKS FOR THE GOOD TYMS TH BOYS PROVIDED...
hii maneno mujarab kabisa!
 
Kocha bora bila makombe unakuwa bado hujadhibitisha ubora wako..hana tofauti na Sarri kwa sasa. Au tuseme msimu ujao utakuwa wa kwake? Kama msimu huu timu haziko vizuri zaid ya man city tu anaelekea kushindwa itakuwaje kwa msimu ujao timu zikijipanga?

Klopp Out....
Kuna sehemu kichwani hakupo sawa unamfananisha klopp na sari,!?kwa Dunia ya Sasa ukimtoa pep nadhani klopp Ni kocha anaetamaniwa na kila timu regardless ya makombe aliyobeba..Kuna wakati timu inahitaji ushind na falsafa KLOPP ameleta falsafa Yale Liverpool na timu yetu inaeleweka of coz tunaumia ndio maana unaona humu watu wakitoa ushauri/kupingana/kurekebishana yote hayo ni mapenz tu kwa chama letu LFC, Kama ulikuwa unashabikia mpira mwaka05/06 LFC inachukua UBINGWAUefa kwenye ligi hatupo top 4.tulicheza na Ac Milan lkn sisi ndio tulionekana undergod,angalia kipind hiki Liverpool Ni moja ya timu tishio duniani ambayo Ni ndoto ya kutisha kwa kocha yyt kukutana nayo..
NB: KLOPP HANA MAPUNGUFU HATUKATAI ILA NI KOCHA AMBAYE AMERUDISHA HESHIMA YA LIVERPOOL KWA KIASI KIKUBWA HAO MAKOCHA BORA WACHUKUENI NYIE SISI BADO TUNA IMANI NA KLOPP,,,, MOURHINO KAENDA MAN UNTD NA VIKOMBE KABEBA BADO MMEFUKUZA BINADAMU HAJAWAI RIDHIKA.KIBAYA CHETU(KLOPP)TUNAKIPENDA,KIZUR CHENU(!?)KAENI NACHO.
 
CC:KAPT,DON
Ogopeni Sana michango ya nguo kwa mtu aliye uchi OLLACHUGA hana hata uhakika wa top 4,lkn ndio anachangia Sana kwenye forum ya wagombania ubingwa plus nusu fainali uefa,mkiendelea kuhangaika na mtu huyo Kuna watu watashusha heshima zenu..
Shabiki mwenye utimamu wa Chelsea mda huu anakuwa anawaza msimu ujao afanyaje walau awe na uhakika hata na top 4 kwanza,sio kubishana Mara vvd Mara klopp, CHELSEA SIO LEVEL YA LIVERPOOL TENA NA ITACHUKUA MIAKA MINGI KURUDI KUSHINDANA NA TIMU KUBWA DUNIANI MARA NGEKEWA ILISHAISHA NA WENYE NGEKEWA WALISHAONDOKA..LAMPS, TERRY,DIDIER,OBI,ESSIEN AND CO.kilichobaki ni kikundi tu Cha waganga njaa kila siku kufukuza makocha..ukiona timu Hadi kipa anagoma kutolewa unaweza jua shabiki huku nje atakuwa na akili ya Aina gani.
 
Kuna sehemu kichwani hakupo sawa unamfananisha klopp na sari,!?kwa Dunia ya Sasa ukimtoa pep nadhani klopp Ni kocha anaetamaniwa na kila timu regardless ya makombe aliyobeba..Kuna wakati timu inahitaji ushind na falsafa KLOPP ameleta falsafa Yale Liverpool na timu yetu inaeleweka of coz tunaumia ndio maana unaona humu watu wakitoa ushauri/kupingana/kurekebishana yote hayo ni mapenz tu kwa chama letu LFC, Kama ulikuwa unashabikia mpira mwaka05/06 LFC inachukua UBINGWAUefa kwenye ligi hatupo top 4.tulicheza na Ac Milan lkn sisi ndio tulionekana undergod,angalia kipind hiki Liverpool Ni moja ya timu tishio duniani ambayo Ni ndoto ya kutisha kwa kocha yyt kukutana nayo..
NB: KLOPP HANA MAPUNGUFU HATUKATAI ILA NI KOCHA AMBAYE AMERUDISHA HESHIMA YA LIVERPOOL KWA KIASI KIKUBWA HAO MAKOCHA BORA WACHUKUENI NYIE SISI BADO TUNA IMANI NA KLOPP,,,, MOURHINO KAENDA MAN UNTD NA VIKOMBE KABEBA BADO MMEFUKUZA BINADAMU HAJAWAI RIDHIKA.KIBAYA CHETU(KLOPP)TUNAKIPENDA,KIZUR CHENU(!?)KAENI NACHO.
hahahaha mbona povu jingi mkuu ..uyo Klopp hajafika hata level ya Antonio Conte kimafanikio halafu unasema ni kocha bora?! kumfananisha na Sarri unasema sina akili? Au kufanikiwa kuitoa Liverpool kwenye kuishia nafasi ya tano/sita uko kila msimu ndo unaona ni mafanikio kwako. Misimu kadhaa apo nyuma Liverpool mmeshiriki Europa na mko uefa kwenu ni achievement kubwa sana. Uyo Klopp ana laana ya wajerumani maana aliondoka Dortmund kwa dharau kubwa tu ..kubeba ligi Mara mbili bundasliga hakuoneshi ubora wowote wa Klopp.

Angekuwa bora kama angebeba vikombe kama Pep na sio kuishia kujenga timu kwa miaka minne kuishia kuleta ushindani kama Tottenham.

Klopp bado ni average coucher..
 
Klopp hajawahi kupewa timu ambayo Ina wachezaji ambao wameshatengenexwa tofauti na hao makocha wako tokea yupo Mainz Kama unaijua vizur historia ya klopp. Ni kocha anaejua Nini anataka kwa mchezaji na atakipata vip ndio maana huoni ajabu Leo wachezaji wote waliopita mikononi mwa klopp Ni lulu duniani... OLLACHUGA ukocha sio makombe tu mkuu,kikosi alichonacho pep ata Sean dyche anaweza chukua nacho ubingwa huyo Conte kafukuzwa kwa aibu kisa ujinga wa kazinguana na waganga njaa,..klopp Ni level za Wenger na hata Ferguson ana jicho Kali na uwezo wa kumbadili mchezaji.kama una uelewa utaelewa ila Kama hauna utabaki kuleta ubishi tu.

NB:Jaribu kunitajia wachezaji waliotengenezwa na pep na conte wamekuwa ma star duniani...halafu tuendelee.

Sent from my CAG-L22 using JamiiForums mobile app
 
Kocha bora bila makombe unakuwa bado hujadhibitisha ubora wako..hana tofauti na Sarri kwa sasa. Au tuseme msimu ujao utakuwa wa kwake? Kama msimu huu timu haziko vizuri zaid ya man city tu anaelekea kushindwa itakuwaje kwa msimu ujao timu zikijipanga?

Klopp Out....
Kwa hiyo tumchukue Unai?
 
Sioni kama VVD atapata mafanikio yeyote apo Liverpool ..chini ya Klopp Liverpool hawatavuna kombe lolote lile..
VVD uyo msimu huu mambo yamemuendea vizur kwa sababu backlines za timu nyingine hazikuwa njema kabisa.. mf Chelsea, Man city, Man u..kama zingekuwa fiti jamaa angefunikwa sana..
Ni moja ya usajili mzuri sana Klopp ameufanya msimu huu. Ila akitaka mafanikio zaid aondoke Liverpool..
Ni Joginho tu ndiye atakayepata mafanikio ndani ya Chelsea
 
Kocha bora bila makombe unakuwa bado hujadhibitisha ubora wako..hana tofauti na Sarri kwa sasa. Au tuseme msimu ujao utakuwa wa kwake? Kama msimu huu timu haziko vizuri zaid ya man city tu anaelekea kushindwa itakuwaje kwa msimu ujao timu zikijipanga?
Klopp Out....

Hizi za kwako ndiyo akili za Man United kumfukuza Mourinho kwa Mihemko wakaishia kwa Ole.

Nitaendelea Kumkosoa na Kumlaumu Klopp pale nitakapoona hayupo sawa! Ila nitaendelea kupigania awepo Liverpool as long as Sokoni sijaona kocha wa kumreplace Klopp kwasasa.

Only Guardiola ndiye Kocha anayeweza kumreplace Klopp.
 
Ombi langu hawa S. M na M. S wavimbe miguu wote hiyo mei mosi wasiweze ingia uwanjani kabisa.
 
Klopp hajawahi kupewa timu ambayo Ina wachezaji ambao wameshatengenexwa tofauti na hao makocha wako tokea yupo Mainz Kama unaijua vizur historia ya klopp. Ni kocha anaejua Nini anataka kwa mchezaji na atakipata vip ndio maana huoni ajabu Leo wachezaji wote waliopita mikononi mwa klopp Ni lulu duniani... OLLACHUGA ukocha sio makombe tu mkuu,kikosi alichonacho pep ata Sean dyche anaweza chukua nacho ubingwa huyo Conte kafukuzwa kwa aibu kisa ujinga wa kazinguana na waganga njaa,..klopp Ni level za Wenger na hata Ferguson ana jicho Kali na uwezo wa kumbadili mchezaji.kama una uelewa utaelewa ila Kama hauna utabaki kuleta ubishi tu.

NB:Jaribu kunitajia wachezaji waliotengenezwa na pep na conte wamekuwa ma star duniani...halafu tuendelee.

Sent from my CAG-L22 using JamiiForums mobile app
This is so wrong.
 
Tukiacha maneno mengi uhakika wa liverpool kutwaa ubingwa umebaki 20% ma 80% anayo city

Nilitamani liverpool wachukue ubingwa baada ya miaka mingi lakini ndio hivyo matumaini yanazidi kupotea ni ukweli mchungu
 
bado ninaamini match ya mwisho kati ya brighton na man city itakuwa draw-na hapo ndipo tutakuwa wabingwa wapya wa EPL
Yani mashabiki wa Liverpool ni sawa na Zahera anayeamini simba ndo anaweza kupoteza mechi na Yanga akawa bingwa, hivi nyie liver mna guarantee ya kushinda mechi zote zilizobaki?
 
unatakiwa uelewe/ujue kwanza tactical approaches za kocha aina ya Dyche ili upate uhakika kuwa atafanikiwa na aina ya wachezaji wa Man City or even LFC.
Haijalishi japo inaweza kuwa na maana kidogo ila kwa ukubwa wa kikosi na Aina ya wachezaji iliyonayo kocha yyt mwenye kujielewa anafanya nayo vizur,huwezi kuniambia kiss Ni Sean dyche basi ukimpa hii timu ya man city atakuwa anahangaika nayo mkiani kujiokoa na kushuka ligi kuu au itakuwa nje ya top ten simply sababu ya tactical approach yake.
ANWAYS NILIKUWA NAPINGANA NA ANAYESEMA SARI AN CONTE NI MAKOCHA WAZUR ZAIDI YA KLOPP.
 
Pep anacheza mpira wa aina gani?

Dyche anacheza mpira wa aina gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom