Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
It seems it is gone now, it is unlucky to ur team
Not unlucky team but Wazembe team
It seems it is gone now, it is unlucky to ur team
Mkuu usijipe False Hope Manure hata akazie Hana uwezo wa Kumfunga wala Kudraw na Man City.
Manure anafungwa leo wala usipoteze usingizi wako subiri asubuhi uangalie LiveScore
Used milner as Fullback,, leaving TAA on the benchKlopp couldnt beat this utd crap side, (with a lot of injuries).
but we were told, it was a good sign of champions, getting a point at OT.
Nyie.! ndoto za Kimweli hizo hivi mtachomokea wapi? Nyie mtakoswa vyote .
Bado kwa Leicester na Burnley away
Barca is far way better than Bayern.anapigwa mbona nyie mlimmudu...
Sio kila deby ni watani wa jadi, watani wa jadi wa Man u ni liver na wala si man city, ila man city ni derby tu ka ilivyo barca na espanyo lakini watani wa jadi wa. Barca ni MadridBraza derby means watani wa jadi.
Watani wa jadi wa liva ni everton.
Watani wa jadi wa Man u ni Man City.
Uwezi Ku value ka mafanikio wakt hamjafika mwisho wa safariInaonekana unaumia kweli kwa mafanikio ya liver msimu huu,keep on dreaming.
Yani wewe kisa ulitaka Man city afungwe kwa roho yako mbaya unaanza kumtupia lawama Ole, hivi kwa akili zako za kuzaliwa ulitegemea kwa ubora wa man city afungwe na man u. Tuache mihemuko tuanalyse mpiraTrust me Kops this Ole Solskjaer had no intention of winning this game, look at his substitution plan
Acha chuki mkuu na kumtegenezea lawama zisizokuwepo, huo mpira wala hajapiga juu ila kaukosa, kwa sababu Compan alikua anataka kuucheza akaukosa ndo akaupoteza direction mana aliugusa ndo ikapelekea Ligard kuukosa, sasa wewe unasema kapiga juu. Umeangalia au umesimuliwa, nyie liver shindeni zenuBwana wee
Hili nililiona kabisa maana mashabiki wa Man U tunawajua
Huyu dogo anawaektia watazamaji , kwa makusudi kabisa kapiga juu mbele ya goli wazi kabisa
View attachment 1080297
Derby mwenzako ana sane wew una rashford ambae hamfikii hata Long wa SouthamptonSio kila deby ni watani wa jadi, watani wa jadi wa Man u ni liver na wala si man city, ila man city ni derby tu ka ilivyo barca na espanyo lakini watani wa jadi wa. Barca ni Madrid
Kikosi cha ajabu ni kipi?Wakati Klopp Anapanga vikosi vya kiajabu na Kutoa Draw za kiajabuajabu tulikuwa tunalalamika hapa! Kuna watu walituambia "Tupo pazuri Man City atadrop points".
Matokeo ni kama ilivyotarajiwa Mkuu hakuna jipya...
n Liverpool is even better than Bayern recent result shows that...Barca is far way better than Bayern.
Wolves wanakuja Anfield Fotress hivyo ni ngumu kuchomoka...Mnasema city atadrop point kwa lecister city, au burnley
Hivi nyie mnajua moto wa wolves, muulizeni arsenal janaa
Too many draw have costed us this EPL n we have only lost once vs th favourites..Klopp couldnt beat this utd crap side, (with a lot of injuries).
but we were told, it was a good sign of champions, getting a point at OT.
Yule mafyafyafyafyale nasubiri aje aseme HALISI zake tenaHata kale ka-imani kadogo kalikokuwa kamebaki sasa kamepotea kabisa.
Klopp katunyima ubingwa kizembe sana.
To get this near ni after another 5 years.
