Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
hata futuhi akimaliza nafasi ya 6 hata shiriki...ama kweli mambo hubadilika Babu Fagi kaodoka na marefa wake Manu sio tishio tena imekua kama Everton ipo ipo tu...Fagi angaambiwa haya yanayotokea leo ya kumiliki kitalu namba 6 angegoma kuodoka...Leo man utd anapigwa za kutosha tu View attachment 1079679
pazuri ni pale we as Liverpool tunazidi kuimarika na Manure wanzidi kushuka kusikojulikana kama headless chicken...
Viva Klopp Viva Liverpool
️─────────
───────────
