kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,751
- 12,140
Ina maana nyie mlikua mnajua Manchester atashinda leo.
Hivi nyie mnaomba man city afungwe na man u, si mngewapa akina mane, salah, na firimino au mulijua lukaku ndio tegemeo lenuu
Harafu hata nyie mnaweza pigwa tu, sio mmuombee njaa man city
KILA MTU ASHINDE MATCH ZAKE ZILIZO BAKI...




Bado kwa Leicester na Burnley awayligi ndo ishaisha hii tukafe na barca tu tubebe ucl.
Yani kufungwa mfungwe nyie lawama mlete Liverpool,ina maana mlikua mnajua mtashinda mbele ya man city leo?Sasa kama Liverpool alishindwa kumpiga City kwanini wawategemee wenzao kama ni rahisi kumfunga city mbona wao waliondoka na Point moja kati ya sita walizopaswa kuchukua kwa City
Daaa kweli kabisa, hope jamaa alifuata ushauri wako. Poleni sana 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Mkuu usijipe False Hope Manure hata akazie Hana uwezo wa Kumfunga wala Kudraw na Man City.
Manure anafungwa leo wala usipoteze usingizi wako subiri asubuhi uangalie LiveScore
Nyie.! ndoto za Kimweli hizo hivi mtachomokea wapi? Nyie mtakoswa vyote .ligi ndo ishaisha hii tukafe na barca tu tubebe ucl.
3 matchs remaining baada ya leo...so t still for th grab by th top two..
Ile match ambayo waliumia wachezaji kama wanne wa man u pale OT mlikuwa na nafasi ya Kuchukua point 3 kabisaZile game za Leicester na Westham mtazimbuka sana, game nyingin ni ile ya Man u pale OT
Ile match ambayo waliumia wachezaji kama wanne wa man u pale OT mlikuwa na nafasi ya Kuchukua point 3 kabisa
Lakin mlileta mapuuza naona saizi mnataman ile match ijirudie ila ndio hivo tena muda ushawaacha kabisa
Klopp couldnt beat this utd crap side, (with a lot of injuries).
but we were told, it was a good sign of champions, getting a point at OT.
31 January, 2009.You can tell some few reds on here, have never witnessed this football club bottling the league before.
if you're a really really really LFC fan, you'd be worried right now.