hovyo kabisa... it's like an EPL side (Everton) playing a Sunday League opposition!Yanayomkuta huko manure Ni shiidaa kaishabondwa mbili ha ha ha ha ha
walikurupuka wakidhani Ole angewarejeshea the so-called "Man U way" (which never was, what they had was Fergie way).It was too early
Cheap is always expensive, now let them go to Europa league where they deserve to be next seasonwangeweza ku-force Levy's hands na kumchukua Mauricio, but they decided to opt kwenye cheap option.
United board/owners played down the thought ya ukubwa wa Club, huwezi kumpa Kocha mwenye CV ndogo kama OGS kazi ya kuirudisha Utd mahali pake.
still like OGS as a person.
Hii ya Ole kupewa contract ya kkudumu Unites niliifananisha na Upgrade version ya David Moyeswangeweza ku-force Levy's hands na kumchukua Mauricio, but they decided to opt kwenye cheap option.
United board/owners played down the thought ya ukubwa wa Club, huwezi kumpa Kocha mwenye CV ndogo kama OGS kazi ya kuirudisha Utd mahali pake.
still like OGS as a person.
feel sorry for OGSCheap is always expensive, now let them go to Europa league where they deserve to be next season
Moyes was a bad decision pia, but hii ya OGS ni mbaya zaidi.Hii ya Ole kupewa contract ya kkudumu Unites niliifananisha na Upgrade version ya David Moyes
the honeymoon is over Mos...this players at most should be shown th door in June...hii sio Manu tunayoijuafeel sorry for OGS
he's a cool dude.
If he wiil be sucked this season, surely this guy is going to get another club in EPLfeel sorry for OGS
he's a cool dude.
Ubingwa kama kila mmoja akishinda mechi zake tutapishana point moja tu mkuuMkuu King Ngwaba ni vyema uwekeze muda wako kivingine bila kumfuatilia huyu mwanajogoo mwenzetu..bila shaka ukijiukiza wapo tulikwenda tofauti nae utaona ni pale kila mmoja wetu hutua yake ya moyoni kuhusu baadhi ya wachezaji na upangaji wa kikosi kwa Klopp..
kwa staili hio utaona tunatofautiana kimtazamo na kwa vile wengi tupo flexible ndio maana leo hii Hendo tupo nae baada ya kuboresha perfomance yake hivi karibuni na kua Hendo mpya...
Sio siri Liverpool akishinda mechi zake zote na Citi akashinda mechi zake zote sisi Majogoo ubingwa tutaukosa kwa pointi mbili...kwa hapo lazima kwanza tushinde mechi zetu na hapo hapo Citi tukimwombea apoteze angalau mchezo mmoja na tumpiku...
ni ngumu sana wote tukumbaliane kimtazamo lakini haina maana tutofautiane kwa maneno yasiyoleta tija, WE WILL DIFFER AT TYMS BUT LETS ARGUE WITH FACTS.....
LIVERPOOL TUNAIPENDA SOTE NA TUNAITAKIA MEMA
Nashukuru kwa hilo ndugu👏👏👏Ubingwa kama kila mmoja akishinda mechi zake tutapishana point moja tu mkuu
Impressive kujikusanyia hizi points...yajayo yanafurahishaUbingwa kama kila mmoja akishinda mechi zake tutapishana point moja tu mkuu
Kama tutapata pointi 97 na City akipata 98 binafsi sitakuwa na shida. Tutajipanga kwa mwakani. At least hatutakiwi kupoteza pointi hata moja sasa hiviImpressive kujikusanyia hizi points...yajayo yanafurahisha
gossip was Salah+ £40m from Juve n we get Dybala...Dybala kwa Salah?
Think Dybala is Flop
Kabisa mkuu tangu Klopp aje tunaelekea mahala sahihi....ni kujipanga tena whateva th outcome na kuedelea kupambana...Kama tutapata pointi 97 na City akipata 98 binafsi sitakuwa na shida. Tutajipanga kwa mwakani. At least hatutakiwi kupoteza pointi hata moja sasa hivi
gossip was Salah+ £40m from Juve n we get Dybala...
Ishu ya Dybla ni kwamba hata kocha wake namba ya kumchezesha hua pasua kichwa...
Kingine th boy get lost in most games...more so kama Sane wa Manciti at tyms he just lose t..
i would rather remain wt Salah than have this Dybala