Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dah! haikutakiwa kufika kote huku, 7 points gap haikuwa ndogo, tunaombea adui njaa wakati Mungu ndo huyo huyo wanaemuomba wao ila ndo soccer, I still believe in Liverpool

Inauma, but isokee isokee. That is how football is.

Labda tulipoteza zile points ili title run iwe interesting kama ilivyo now.

Tutakuwa mabingwa.
 
TOT wanacheza sana mpira wa nyuma,inabidi wawacheeze counter hawa kulikangana na mfumo wao...maana CITY wanashambulia
 
hawa cardiff inabidi tuwe na tahadhari kubwa sana kumbukeni kocha wao alisema cardiff wataamua nani awe bingwa kati ya liverpool na mancity sasa kama walishindwa kumfunga city itakuwa wamejiandaa zaidi ili kutuharibia sisi ili kutimiza ahadi yao kuamua nani atakuwa bingwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom