Don njinji
JF-Expert Member
- Dec 29, 2017
- 688
- 1,556
Kaka weka pic ya demu wako tuthaminishe,tirioni Sina ila naweka mezani laki tano weka huyo bibie...man city akishinda ikiwezekana njoo pm...#TUSHAPAGAWA#Kama Tottenham hii ndiyo inaenda kumzuia City kuchukua EPL basi mi naweka rehani demu wangu na Mtu aniwekee trilioni 1 tubeti kuwa City atashinda goli 5 zingine tena Jmosi[emoji87]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini mnasema man city hatoshinda?Kaka weka pic ya demu wako tuthaminishe,tirioni Sina ila naweka mezani laki tano weka huyo bibie...man city akishinda ikiwezekana njoo pm...#TUSHAPAGAWA#
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann mnasema MANCITY atashinda!!?Kwa nini mnasema man city hatoshinda?
Sent using simu mbovu
Bado unataka ku mbet demu wako!!?Mimi nasubilia kauli yako tu...maana wengine tunafatilia mpira mpaka kutongoza tunasahau,mia tano ipo mfuko wa shati ewew tu na huyo bibie.Chifu lile goli la offside lilivyofungwa tu na Pep kuruka ruka uwanjani kushangilia niliamua kujiinukia na kurudi zangu home maana lilinikatisha tamaa na kunikosesha furaha sana, ss hapa nachati chati na Watu nashangaa nikiulizwa kuwa ni timu ipi imepita ndipo nikaangalia mtandaoni na kukuta Tottenham kaenda nusu fainali baada ya goli kukataliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitendo cha kuifunga Chelsea nimeamini mna kikosi bora sijapata ona, hongereni kwa ushindi dhidi yetu ..sasa ni kazi kwenu kuchagua ni kombe gani mnyanyue.
Liverpool 2-0 Chelsea
Sent using Jamii Forums mobile app
Liver hana ubavu wa kuifunga barcelona, PERIOD.Hawatahamini kitakachowakuta
Hutaamini hiyo jumamosiUnajua wao watakuja na bonge la confidence, halafu pressure kwao siyo kubwa kama City.
Ila City atapiga piga goli nyingi EPL, maana atakuwa na hasira.
uzuri bado Citi ana game 5 hivyo aidha mgawe pointi kwake au la bado kuna uwezekano akaje pigwa au draw...Ni bora twende futuhi kuliko kuwapa nyie EpL.
Futuhi tutacheza msimu mmoja tutasahau.
Ila ninyi mkishinda EPL hatutosahau.
Sent using simu mbovu
ni sahihi Citi siwapi asilimia za kupoteza dhidi ya yeyote yule kwenye ligi lakini kama ambavyo alipigwa na Crystal, Leista, Newcasto basi anaweza akaja kafa au draw katika mechi 5 zilizobaki...Spurs kamtoa city hajampiga mnakosea hapo na spurs nzuri ila awezi kushinda etiad hata nyinyi wakali paliwashinda, atapigwa tena hakuna ndoto
Mi sio mnazi wa Liverpool ila game dhidi ya Barca Kuna 70% za Messi kuaga mashindano.Kama ututarudi nyuma kidogo tu tutagundua kuwa Walisema Hatuna ubavu wa Kumtoa Napoli.
Ikisha wakaja tana na kusema hatuna ubavu wa Kumtoa Bayern
Then wakaogopa kumpigia Ramli Porto
Sasa wanakuja na Ramli kuwa Hatuna ubavu wa Kumtoa Barcelona.
Na almost ID zinazoyasema haya utazikutia someone unknown kwenye this thread from nowhere
ngoja tumachalaze huyu Barca...Klopp inabidi afanye kazi ya ziada sana pale kati pasilegee...Barca wanafungika endapo kila timu ikicheza kama unit...Mkienda Fainali, 100% mnabeba
Timu yetu ina morali ya hali ya juu,na uhakika tutacheza kama unit,huku messi akikabidhiwa fabinho,fainali mpaka ubingwa nauona huu hapangoja tumachalaze huyu Barca...Klopp inabidi afanye kazi ya ziada sana pale kati pasilegee...Barca wanafungika endapo kila timu ikicheza kama unit...
all in all hii itakua fainali kabla ya fainali
hata kwa Napoli, Bavarians walisemaga hivyo hivyo na sisi haooo semi final...Liver hana ubavu wa kuifunga barcelona, PERIOD.
Tuache hizi ndoto za ajabu ajabu kuwa liver atamfunga na kumtoa barca. Safari ya liver imefika tamati. Wanapigwa nje na ndani.
ngoja tumachalaze huyu Barca...Klopp inabidi afanye kazi ya ziada sana pale kati pasilegee...Barca wanafungika endapo kila timu ikicheza kama unit...
all in all hii itakua fainali kabla ya fainali
Fabi hio kazi akipewa anakaba mpama kivuli...Barca kuwafunga ni kuhakikisha mipira kwa Messi haimfikii kamwe maana ndogo ni master pass ukiacha pia mfungaji...Timu yetu ina morali ya hali ya juu,na uhakika tutacheza kama unit,huku messi akikabidhiwa fabinho,fainali mpaka ubingwa nauona huu hapa