loosimingori
JF-Expert Member
- Oct 30, 2017
- 920
- 1,146
ndio maana hata mimi nimemuuliza yani yeye badala ya kusema ujinga ni wa city kuruhusu goli la llorente yeye anasema ujinga ni wa tot kuruhusu goli la 5 wakati score board inasoma ft man city 4 spurs 3Unaongelea goli lipi mkuu?
Ulitoka kabla mpira haujaisha au?Si ambalo Rahim Sterling kafunga zikiwa zimebaki dkk 2 afu mpira uliisha au matokeo yakoje Mkuu[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dalili zipo wazi Futuhi inawahusu msimu ujao...Kabla ya mechi ya Westham OLe alisema, " tunahitaji point 15 katika michezo 6" means mchezo wa City hatuuhesabu.
Kama kuna mtu anabet siku hiyo mpe Man City mwanzo mwisho. Kwanza tutapumzusha wachezaji kwa ajili ya chelsea, maana tusipomfunga Chelsea ni kazi bure hata kama tukishinda mechi ya man city.
Sent using simu mbovu
We jamaa upo nyuma sanaHivi ujinga wa Tottenham kupigwa goli la 5 bado dkk 2 linakupa picha ipi City atapokutana na Ajax Chifu[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
hebu nijibu kati ya city na spurs yupi amefuzu semi final uefa champion leagueNdiyo kapigwa hadi mi nikanyanyuka kwenye kiti kurudi home kabla ya mpira kuisha maana naona Tottenham hawana beki kwa kufungwa magoli ya kijinga kijinga kama vile netball[emoji26]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni bora twende futuhi kuliko kuwapa nyie EpL.Dalili zipo wazi Futuhi inawahusu msimu ujao...
Spurs kamtoa city hajampiga mnakosea hapo na spurs nzuri ila awezi kushinda etiad hata nyinyi wakali paliwashinda, atapigwa tena hakuna ndotomara Pap Spurs akampige tena Jmosi...usije shangaa Citi huyu akapigwe na Mbwa Mwitu au katoka draw na nyinyi...
kuhusu Barca tutapambana kadri tuwezavyo kuwazima na sis tusonge fainali
hebu nijibu kati ya city na spurs yupi amefuzu semi final uefa champion league
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitoka kabla mpira haujaisha au?
ndio maana hata mimi nimemuuliza yani yeye badala ya kusema ujinga ni wa city kuruhusu goli la llorente yeye anasema ujinga ni wa tot kuruhusu goli la 5 wakati score board inasoma ft man city 4 spurs 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawatahamini kitakachowakutamashabiki wa Barça wanafurahi wamewachukulia poa baada ya juve na City kutoka wanasema uefa imejileta yenyewe
Barcelona Hawatahamini kitakachowakutamashabiki wa Barça wanafurahi wamewachukulia poa baada ya juve na City kutoka wanasema uefa imejileta yenyewe
mara Pap Spurs akampige tena Jmosi...usije shangaa Citi huyu akapigwe na Mbwa Mwitu au katoka draw na nyinyi...
kuhusu Barca tutapambana kadri tuwezavyo kuwazima na sis tusonge fainali
Chifu lile goli la offside lilivyofungwa tu na Pep kuruka ruka uwanjani kushangilia niliamua kujiinukia na kurudi zangu home maana lilinikatisha tamaa na kunikosesha furaha sana, ss hapa nachati chati na Watu nashangaa nikiulizwa kuwa ni timu ipi imepita ndipo nikaangalia mtandaoni na kukuta Tottenham kaenda nusu fainali baada ya goli kukataliwa.We jamaa upo nyuma sana
Sent using simu mbovu
Waache wafurahi tu baadae watalia na kusaga menomashabiki wa Barça wanafurahi wamewachukulia poa baada ya juve na City kutoka wanasema uefa imejileta yenyewe
Umemjibu kiufundi Sana mkuu...nakupa gwalaKucheza fainali uefa au kuchukua kabisa.
Uefa ndio ligi ya mabingwa ,mabingwa wote wapo hapo .
Unaweza ukachukua ligi ya ujerumani ukaonekana bora ukija uefa unaonekana underdog,ukichukua ligi ya italia ukija uefa unachezea za mbavu.
Uefa ukichukua ndio kipimo au hata ucheze fainali tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hata baada ya kupingwa na cry palace mlisema atampiga Leicester goli nyingi akabondwa Tena...Unajua wao watakuja na bonge la confidence, halafu pressure kwao siyo kubwa kama City.
Ila City atapiga piga goli nyingi EPL, maana atakuwa na hasira.
Na yeye top four bye bye ataenda futuhi maana ana game na Chelsea pia. #KILAMTUASHINDEZAKE#Kwa jinsi man u asivotupenda anaweza kutegeza akapigwa nyingi na city
Sent using Jamii Forums mobile app