Don njinji
JF-Expert Member
- Dec 29, 2017
- 688
- 1,556
Ni vizuri kuishi kwa Matumaini Kwani Mimi Naitaka EPL hata kwa Tunguli ila ndiyo hivyo Ulaya hakuna Tunguli.
akikujibu nitagVipi mkuu...matokeo ya Chelsea na Liverpool yakoje?
Unajua wewe chizi aisee, hahahahahaNi vizuri kuishi kwa Matumaini Kwani Mimi Naitaka EPL hata kwa Tunguli ila ndiyo hivyo Ulaya hakuna Tunguli.
Kila za zama na kitabu chake!Dah! Huwezi kuamini huyu jamaa alivyopotea katika Medani za Soccer
Kajitahidi goli zur na hasa kuwabonda goli Kama lile Manchester United kumefanya goli kuzid kuwa zuri zaidi...Kops hamjamis Coutinho ,maana sio kwa ule m cave ,
We are not afraid of any team!!Liva chonde chonde muombe mkipita kwa Porto msiyakanyage ya Barcelona
Historia haichezi Mpira shauli yenu.
Waambie maana coutinho na Suarez watawauaLiva chonde chonde muombe mkipita kwa Porto msiyakanyage ya Barcelona
Historia haichezi Mpira shauli yenu.
Kule kafika tu na laliga nyie toka ameondoka hata FA hamna nyie loosefoolKajitahidi goli zur na hasa kuwabonda goli Kama lile Manchester United kumefanya goli kuzid kuwa zuri zaidi...
Ila nadhani yeye anatumiss Zaid Liverpool kuliko sisi tunavyommiss..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuvaa medali sio tatizo inshu Ni mchango wako Kama mchezaji kwenye upatikanaji wa hizo medali!!?unamjua arda Turan ewew!!?maisha ya Barcelona sio mepesi kihivyo..Luis Suarez anaimiss Liverpool countinho Ni Nani hasa mpaka tummiss sisi!!?Kule kafika tu na laliga nyie toka ameondoka hata FA hamna nyie loosefool
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchango wake Jana haujauona?Kuvaa medali sio tatizo inshu Ni mchango wako Kama mchezaji kwenye upatikanaji wa hizo medali!!?unamjua arda Turan ewew!!?maisha ya Barcelona sio mepesi kihivyo..Luis Suarez anaimiss Liverpool countinho Ni Nani hasa mpaka tummiss sisi!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hendo iyo sio nafasi yake mpya,ila iyo ndio nafasi yake tokea enzi ya BR....akiwa BOX TO BOX huwa ana perform mnoo. Tatzo Klopp alipokuja alitaka ambadili awe DM (Number 6) hapo ndipo alipomharibu uyu mtu.bwana wee, nilisoma Sky eti Hendo ndio alimuomba Klopp acheze box to box na Fabi acheze defensiv md..na Klopp akakumbali...
uzuri Hendo kwa hii nafasi yake mpya ni kama sio.yeye vile anajituma sana tu na akiedelea hivi msimu ujao tunae Le Captain hapa hapa Anfield..
whats matters now ni pointi 3 tu hata akicheza straika ni sawa lakini pointi 3 tubakie nazo...
Jaribu kuuelezea mchango wake kiujumla tokea aende Barcelona achana na goli la Jana ambalo huku kwetu hata the king himself kawabonda nalo chelshit j.pil,.
you're right. what i know is Klopp is a perfect gentleman... hana arrogancy ya kujifanya anajua sana. in my opinion, ni msikivu.Katika Kitu ambacho Klopp alikuwa Ananipa Headache ni Kumchezesha Hendo kwenye DM while kila mtu alikuwa akiona kwamba He is shit at that position.
Now tumepata Mtu sahihi wa hilo eneo FABINHO na Hendo amepelekwa anapostahili kuwepo.
So, Klopp sasa ndiyo amefanya good soccer management, Lakini hapo awali alikuwa na Bad soccer management kwa Kumchezesha Hendo at Six ingawa tuliomkosoa tulionekana tuna chuki na kocha na hatujui kitu.
Liva chonde chonde muombe mkipita kwa Porto msiyakanyage ya Barcelona
Historia haichezi Mpira shauli yenu.