Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sadio Mane player of the month MARCH
Klopp manager of the month MARCH

Sent using Jamii Forums mobile app

20190413_001558.jpeg
20190413_001532.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
MTOE MMOJA KWENYE HII LIST.


A. Messi, Pele, Maradona, C.Ronaldo


B. Iniesta, Xavi, Modric, Pirlo


C. Gerrard, Scholes, Lampard, Zidane
Hapo kumtoa mtu ni kazi ila kwa kila kundi moja wao ni zaidi kuliko wenzake.
A.kinara wa kundi ni Messi
B.kundi b kinara ni pirlo
C.kundi c kinara ni zidane
 
Keita sasa kaiva
Keita.Fabihno.Captain
Liverpool HALISI tuzidi kuwa watulivu,tulianza na Mungu tunamaliza na Mungu!
Tukimpiga Chelsea tuanze kushona suti
Upande wa pili wenzetu wamechoka mno
Liverpool HALISI huwezi kumpiga Chelsea, sisi tunaitaji ushindi hatujali nani atabeba ubingwa

either Chelsea or draw

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bwana wee sijui watapaki train kama Murinyo wasubiri tufunguke watapige kaunta ila wakijifanya kushambulia wamekwishaaa tutawapiga nyingi...

kwanza yule Jorginho ndio weak link na tutapita mazimaaa pale pale....

Kwa Liverpool hii ondoa shaka tutalala nao mbele pointi zitabaki nyumbani...
Sisi tunafocus na top four msimu ujao, hatutaki kujua nan atabeba ubingwa ..mechi utakuwa ngumu hakuna ushindi wa kupatikana kirahisi. Hivyo mjipange kwa lolote lile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama siyo jana ni juzi nilikua unamwambia shabiki wa Liverpool Chelsea atakufunga. Naona sa ivi umekuja kutafuta wapambe.



Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima niwaombee njaa mkuu, au unataka niwaombee mshinde?

Ikitokea mmeshinda bas tutapambana najua bado nafas ya 4au 3 ni yangu, ila liver mtakuwa mmemuharibia mbio za ubingwa, je atakubali huo upumbavu ,wakat anahitaji silverware

Yohana 3:16
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom