Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


He was a racist man.

Heard/read a lot of good stories about him (on the pitch).

But cant be classed as a legend (in my own opinion) because of his racist behaviour.
 
Kwani kuwasapoti Leo liver washinde ndio kuwa kop?

Mbona katikati ya wiki ulikuwa unataka Napoli ashinde ,je ulikuwa napoli fan?

Hebu muwe mnauliza vitu vya msingi,

Leo mwanzo mwisho naomba mbondwe

Yohana 3:16
Wapi tulikuwa wote nataka Napoli akupige, hata hivyo sisi kwa sasa hatutaki sapoti zenu maana tunajitosheleza, wengine mnamikosi aiseeeee hata sapoti zenu nazo ni feki na mikosi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasema mzimu ule ule ulioxima ndoto za Liverpool pale serhust park na ukamliza Suarez Leo utatenda Tena maajabu yake na watu hawataamin watakachoona,
Kama Gerrard aliteleza katika mechi Kama hii na Leo naamin Chelsea atalipa machungu yetu wana Liverpool maana huwa wanatupania Sana uzuri man city ataanza kucheza kabla yetu..NARUDIA TENA CRYSTAL PALACE NA CHELSEA NDIO WALITUNYIMA UBINGWA 2014,NA LEO NDIO WATATUPA UBINGWA RASMI...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mechi kama hizi Salah huwa ni ovyo kweli kweli sijui kwa leo ataperform vipi lakini simtegemei kabisa
 
Another difficult day in my life... Sorry! Not because of Liver vs Chelsea, but Palace vs Man City..
Don't care about our game! Its about City result...
Palace, Spurs and Manure are our only remaining Cards.

Fvck Everton
 
Mechi kama hizi Salah huwa ni ovyo kweli kweli sijui kwa leo ataperform vipi lakini simtegemei kabisa

Salah will be our main man today! Trust me bro..

Salah is Liverpool, Liverpool is Salah

If we'll win a tittle no doubt we must give all our thanks to Salah coz of his 18 goals that brought us where we are today..

"Salah is not merely King of Egypt but he is King of Anfield"
 
Amen
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…