Sema klopp sio mropokaji he knows how to handle ishu kama hizi.Ila inauma na itauma Shaq akiondoka.Player need gametime to win his day-2-day performance.
Rotation inahitajika kubwa sana kama afanyavyp pep.Angalia hii pep alipata majeruhi ya Debrune Fernandinho Laporte Mendy Walker Aguero kwa nyakati tofauti tofauti ila hakuyumba kutoa zaidi ya kulose vs Palace na Leicester.Sisi Gomez na Gini kipindi cha January-feb dah


.Pep rotation yke nzuri inamfanya yoyote atakayepangwa uone kama ni 1st hata kama sio.
Klopp kutofanya rotation inafanya tuwe na kikosi finyu, na kuna players has to go ila ugumu wa soko kwa sasa unanipa shaka sana.Kapiga chenga kwa keita but past two games kampa nafasi two goals kaweka kapuni.
All in all msimu upo rehani tushinde tu bila kuangalia nani amepangwa nani hachezi vzuri ilimradi 3 points tu.
Sent using
Jamii Forums mobile app