Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,505
- 7,465
Everton walistahili kushinda
Swadakta kabisa umesema kweli maana ule mpira walioupiga leo Everton lau wasingelikuwa na striker butu Arsenal ilikuwa ale mkono leo
Everton walistahili kushinda
Unadhan Everton alivyokufumua wewe basi atawafumua wote?, wewe una kipa pazia , kwahiyo lazima ufumuliwe
Njoo kesho ushuhudie Everton anavyokufa kwa sex football
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Dogo nilivyomwona nikasema linaweza sawazishwa
Hatuna mpango wa kushinda hiyo mech unayolazimisha tushinde. Huo mpango hatuna na top 4 tutaingia..wew utaonaMajirani zetu Everton wamerekebisha, kazi kwenu mechi zenu sasa, hasa ile ye City.
Hatuna mpango wa kushinda hiyo mech unayolazimisha tushinde. Huo mpango hatuna na top 4 tutaingia..wew utaona
Halafu kwa performance hii ndio wanajifariji wataingia top fourTuna uhakika timu mbovu ndio imefungwa leo...View attachment 1065324
Sent using Jamii Forums mobile app
hichi kimtu na kitimu chake cha kuunga unga na kenyewe kanataka kuingia uefa msimu ujao..hahaha si kitendo cha aibu kabisa hichi??Everton wamenisaidia kuukata huo mdomo wako mrefu mkuu.
BwahahahahahahA..haupo seriaz muzee babaa..Everton vs Arsenal
Score: 1 - 3
Pierre liquid (hat trick) 92' 93' 94'
Min: 90+5
Match over!!
Sent using Brain
hichi kimtu na kitimu chake cha kuunga unga na kenyewe kanataka kuingia uefa msimu ujao..hahaha si kitendo cha aibu kabisa hichi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutaona mwisho utashika nafas ya ngapiMKUU KIPORO CHAKO KIMECHACHA, ANAKUSHINDA HATA SIMBA VIPORO VYOTE ANACHACHUA..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli unajulikana ,namba 6 manyua,namba 5 cheltakoAROON alikuwa anazunguka na matokeo yake mfukoni, naona anatafakari kwanza.
Wewe namba 6 ndio mahala pako sahihi
Kwani wewe hujui namba 6 ndio sehemu yako sahihiBring back Winger wa Arsenal
Ambapo kingereza chake ni Arsene Wenger
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtapigwa jumatano na barca