Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

I think Matip ame-cement his place kwenye kikosi now, hatakiwi kuuzwa.

Just sell Lovren and get a good young CB.

VVD/Gomez/Matip/New CB, should be enough.
Would like to see de Ligt but it looks like all the big mules are in for him. Balague even claimed that it's a deal done with Barca.
 
Would like to see de Ligt but it looks like all the big mules are in for him. Balague even claimed that it's a deal done with Barca.

De Ligt is off to Barca.

They’re selling Umtiti nadhani..

Rumours ni kwamba Umtiti’s knee is screwed pia.

Pique (for the next 1-2 years)/Lenglet/De Ligt/Todibo. Thats solid man.
 
I stand to be correct when I say NO to Gerrard.....

Mkuu kumbuka Gerrard ni Scourser akipewa timu basi tujiandae na Kina Henderson na Milner wakijaa katika timu kama kipindi cha kina Charlie Adam na Downing.

Huyu bora Apewe cheo chochote katika timu lakini sio Bench la ufundi.
hivi hawa ma Scourser hawatakaa wabadilike believing in Wales, Scotland, England players ambao wengi ni hyped by thier media n pundits...

unless otherwsie i see Gerrand becoming our Manager in future him being a one man club n th bond he has wt this massive Club is a tick to get th nod..

hopefully he il not disspoint wt Carrol, Downing, Adams, Allen, Keane etc type of signings..
 
Habari za chini chini, zinasema Klopp amesign mkataba mwingine wa miaka mitatu..

Mkataba wake wa awali ulikuwa unaisha 2022, so kama kaongeza mkataba itakuwa ni mpaka 2025.

Bado haijawa confirmed, na sina uhakika nayo kwa 100%, but lets wait and see kitakachotokea huko mbele.
Binafsi Sina tatizo na Hilo na naomba liwe kweli an Kama Kuna uwezekano wampe mpaka 2030...ukiacha mapungufu mengine yanayovumilika klopp katufanya angalau na sisi tunaongelewa Kama tishio tofauti na miaka mingi iliyopita...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dont think we’ll go back for him bro..

Think, he’ll either sign an extension or go to spain.

But, you never know bro.

Sijasikia ishu yeyote kuhusu Fekir for a while.
His agent spoke the other day. Akaelezea sababu ya deal ku collapse in the final minutes. Claims he passed the medical, took photos e.t.c but then the knee problem was resurfaced, said LFC used it as a smokescreen but hakusema what was the real reason behind the collapse.
 
Been saying this for a while, Kwa upande wa Kibiashara, Lallana ni signing mbovu kuwahi kufanywa na Club.

The signing fee na mshahara wake haviendani kabisa na kile anacho-offer uwanjani (hasa katika upande wa fitness na playing time)

We need to bin him.

Offer him and money kwa Rodgers for Maddison.

Will be a good and direct replacement.
 
Habari za chini chini, zinasema Klopp amesign mkataba mwingine wa miaka mitatu..

Mkataba wake wa awali ulikuwa unaisha 2022, so kama kaongeza mkataba itakuwa ni mpaka 2025.

Bado haijawa confirmed, na sina uhakika nayo kwa 100%, but lets wait and see kitakachotokea huko mbele.

Mi naendelea kuinsist kuwa huyu mzee akishindwa kuchukua msimu aondoke tu, ila akichukua hii title ya 2018/2019 nitamsupport kubaki
 
Hahahaha mkuu.. Aquilani was miles better than Gareth Barry(on my view) sema naona tatizo la Aquilan alikua prone injury na hakupewa muda kuprove... Ila Gareth Barry angeiganda Liverpool mpaka sasa hivi maana waingereza wakishafikaga hiz big clubs hawaez kuondoka hata mpira ukiwakataa
Aquilani, Borin,Carrol lol kweli tumetoka mbali nowsdays we get real talents sio mediocre players..
 
Been saying this for a while, Kwa upande wa Kibiashara, Lallana ni signing mbovu kuwahi kufanywa na Club.

The signing fee na mshahara wake haviendani kabisa na kile anacho-offer uwanjani (hasa katika upande wa fitness na playing time)

We need to bin him.

Offer him and money kwa Rodgers for Maddison.

Will be a good and direct replacement.
Maddison if well nurtured is next big thing..thought th club shown interest before Foxes got th boy.
 
Jurgen Klopp insists while Van Dijk has grown in confidence since moving to Merseyside, he has actually not improved as a player since his time at Southampton.

"He had really good games with us, we qualified for the Champions League so that all helps. As confident as you are, you are still a little bit, not insecure, but you don’t know 100 per cent.

"But now it is clarified, the level he is at. He was the same level at Southampton, but the whole world was not watching."

Do you agree?

Hahaha, and he just finished to praise Hendo saying he has filled Gerrard's shoes.

To me he is just telling us to not expect VVD as a captain next season.

He is purely preparing us for that shit.
 
His agent spoke the other day. Akaelezea sababu ya deal ku collapse in the final minutes. Claims he passed the medical, took photos e.t.c but then the knee problem was resurfaced, said LFC used it as a smokescreen but hakusema what was the real reason behind the collapse.

Yeah, niliiona Aisee

The truth is, we couldnt afford buying Allison and Fekir at the same time..

The plan was always kununua a Number 10, (direct Coutinho replacement) as Klopp was ready to continue with Karius as his Number 1, but zile howlers zake na kikubwa ziadi mental stability yake, zikafanya Club iamue kutafuta a good keeper, so we ended up buying Alisson for £66m, and it played a huge part kwenye budget ya summer ile, hence we ended up finding a cheaper option in Shaqiri kwaajili ya ku-cover 10 role and RW. Tusingeweza ku-afford £48-50m for Fekir, ndo maana kabla ya kumnunua Shaqiri, tulijaribu sana kufanya mazungumzo na kina Aulas kuuza kupunguza the asking fee, but they refused.
 
Hahaha, and he just finished to praise Hendo saying he has filled Gerrard's shoes.

To me he is just telling us to not expect VVD as a captain next season.

He is purely preparing us for that shit.
Cant imagine next season again wt this brexit trio..either they all go n Klopp accept they cant be starters...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom