Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,472
- 32,923
ni kweli jana jana kipindi cha kwanza kati palikufa sana, Gini alikua hafanyi kazi yake ipasavyo bivyo kumstrech sana Fabi na kama uliona Ston waligundua hilo wakawa wanatumia sana pembeni na hili shinda maana RB/LB wetu hua ni part ya attacking stratergy lakini jana walikamatika baada ya kati kupoa...alivyotoka Gini pakawa composed n solid na hii akamfanya mkata umeme Fabi kafanya kazi yake kwa utulivu...kulia pia yupo Salah ambae defending muda mwingi yeye huchelewa...Sijui lakini kwa gemu ya jana against Soton pale St Mary's first half tulipwaya sana upande wa kulia ambapo Gini alikuwa anaoperate as CM,i saw kitu baada ya ile tactics sub tulikuwa very aggressive sana na kusababisha winning ile
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hayo mashindano nayo si ya mpira wa miguu.?We jamaa angalieni msije cheza Futuhi tena mwakani!
Hahaa.. An Arsenal fan at his best. Sema nini, sisi binadamu tumeumbwa kusahau ukifika muda wako nitakukumbusha kaforomondo wewe.Hawa lazima wacheze futuhi
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Mkuu hayo mashindano nayo si ya mpira wa miguu.?
Mshindi wa futuhi si anaenda kucheza Supercup na mshindi wa UEFA?
Timu zinazotoka hatua ya mtoano UEFA si zinaenda futuhi.?
Kwa hiyo hata nikicheza futuhi tena mimi siwazi bhana. Hiyo UEFA nyie mmeitafuta kwa muda gani na hamjaipata.? Au ndio sizitaki mbichi hizi!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hivyo goli la Keita, Salah alikuwa ameotea sijui ni kitu gani kinawasibu marefarii wa EPL, juzi tu Aspi wa Chelsea anafunga goli kaotea Zaidi ya futi mbili. Wacheni tu VAR ije tena haraka
Hazard ana goal 14 nyuma ya mfungaji bora kwa goal 5 na ni moja ya wachezaji atatawala transfer mwaka huu na sababu ni mchezaji mzuri ndio maana unasikia Real Madrid wameanza kuimba nyimbo ya Hazard wale hawaendi kwa mtu ila ujue ana vigezo vyote sasa ukitaka kuniambia Hazard sio tishio ni siku ambayo Mid za Liver wapoteze mipira kama jana nje ya 18. wiki ijayo wanakuja kwetuHazard ana goli ngapi?
Hazard ana goal 14 nyuma ya mfungaji bora kwa goal 5 na ni moja ya wachezaji atatawala transfer mwaka huu na sababu ni mchezaji mzuri ndio maana unasikia Real Madrid wameanza kuimba nyimbo ya Hazard wale hawaendi kwa mtu ila ujue ana vigezo vyote sasa ukitaka kuniambia Hazard sio tishio ni siku ambayo Mid za Liver wapoteze mipira kama jana nje ya 18. wiki ijayo wanakuja kwetu
Quality ya mchezaji haipimwi tu kwa magoli, Hazard ni mchezaji ambaye akiwemo uwanjani defense ya timu pinzani inapata kazi kwa sababu is a wide player, hachezei mguu mmoja wala upande mmoja wa uwanja. Ni mzuri wa kufunga na ku-assist kwa pamoja. dio maana Zidane hajafunga magoli mengi lakini ni LegendHazard ana goal 14 nyuma ya mfungaji bora kwa goal 5 na ni moja ya wachezaji atatawala transfer mwaka huu na sababu ni mchezaji mzuri ndio maana unasikia Real Madrid wameanza kuimba nyimbo ya Hazard wale hawaendi kwa mtu ila ujue ana vigezo vyote sasa ukitaka kuniambia Hazard sio tishio ni siku ambayo Mid za Liver wapoteze mipira kama jana nje ya 18. wiki ijayo wanakuja kwetu
Ni kweli ndio maana mimi kama mshabiki wa Liver baada ya kuona jana Mid zetu kupoteza mipira sehemu mbaya sana imenitia wasiwasi lazima tucheze kama tukiwa CL hakuna makosa katikati Hazard sio wa kumpa mpira hata mmoja ana madhara makubwa sana huyu jamaa. na yote haya nasema baada ya kuona Keita jana kama mipira mitatu watu wamempokonya nje ya 18 ni hatari sana makosa kama hayo kwa watu kama Hazard.Quality ya mchezaji haipimwi tu kwa magoli, Hazard ni mchezaji ambaye akiwemo uwanjani defense ya timu pinzani inapata kazi kwa sababu is a wide player, hachezei mguu mmoja wala upande mmoja wa uwanja. Ni mzuri wa kufunga na ku-assist kwa pamoja. dio maana Zidane hajafunga magoli mengi lakini ni Legend
cha muhimu ni kuwa kwenye forum kama hii mtu hutakiwi kuwa serious katika kukasirikaWe jamaa hebu jiamini, hizi ni forum za wazi. Unapoandika kitu lazima ujiandae kukitetea kwa vielelezo.
Sote humu hakuna anayejua kumpita mwenzake, tunaelekezana. Point yako ya Hazard hakosi nafasi kama zile ndiyo nataka tuijadili.
Kitu kingine, ukitaka kuandika kitu ambacho hutaki mtu aku-quote wala kuhoji, andika kwenye diary na si kwenye forums kama hizi.
Ni kweli ndio maana mimi kama mshabiki wa Liver baada ya kuona jana Mid zetu kupoteza mipira sehemu mbaya sana imenitia wasiwasi lazima tucheze kama tukiwa CL hakuna makosa katikati Hazard sio wa kumpa mpira hata mmoja ana madhara makubwa sana huyu jamaa. na yote haya nasema baada ya kuona Keita jana kama mipira mitatu watu wamempokonya nje ya 18 ni hatari sana makosa kama hayo kwa watu kama Hazard.
Arsenal fan siku hizi baada ya timu kuingia top 4 ni kutamba kwenda mbele, huko nyuma walipoteaHahaa.. An Arsenal fan at his best. Sema nini, sisi binadamu tumeumbwa kusahau ukifika muda wako nitakukumbusha kaforomondo wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tunajuzana tusio yajua sasa tukipitiana mbali raha ya ushabiki itakwepo wapi apo?Naomba hata usinitag au dharau msg zangu tu maana umefanya majibishano na ushindani wewe andika unachoona kweli sisi tusio juwa mpira pita kwa mbali tu.
Ukimya haimaanishi kuungwa mkono ukiona unaongea na watu hafu huoni hata anae kutizama juwa wazi kama umepuuzwa.Angalau hakuna mtu aliyejitokeza kumpinga au kulaani . ukimya maana yake ni kuunga mkono
Ni kweli hapo nimekosea na ungwana unapokuwa umekosea ni kuomba msamaha na watu ni lazima tutofautiane hata kama wote tunaipenda team moja. kwa hili nimeteleza my apologyMkuu tunajuzana tusio yajua sasa tukipitiana mbali raha ya ushabiki itakwepo wapi apo?
Ila mkuu sizani kama kuna mchezaji asie kosea ndani ya dakika 90 muhimu ni kushirikiana na kuziba mapungufu nazani hata goli tulofungwa umeona Vvd hakuba ipasavyo.Ni kweli ndio maana mimi kama mshabiki wa Liver baada ya kuona jana Mid zetu kupoteza mipira sehemu mbaya sana imenitia wasiwasi lazima tucheze kama tukiwa CL hakuna makosa katikati Hazard sio wa kumpa mpira hata mmoja ana madhara makubwa sana huyu jamaa. na yote haya nasema baada ya kuona Keita jana kama mipira mitatu watu wamempokonya nje ya 18 ni hatari sana makosa kama hayo kwa watu kama Hazard.
Nakukumbusha tu. Sisi binadamu ni wasahaulifu mno. Nitakukumbusha wakati muafaka.Very submissive language, naona umeshakubali kushindwa.
Sawa mkuu.
Wasahaulifu sana. Only time is the best answerArsenal fan siku hizi baada ya timu kuingia top 4 ni kutamba kwenda mbele, huko nyuma walipotea