Don njinji
JF-Expert Member
- Dec 29, 2017
- 688
- 1,555
Tuombe mungu mkuu,ila swala la city kuwa na mechi tatu mfululizo na tothnm linanipa nguvu kidogo sidhani Kama atampiga zote ucl na epl..ila muda ndio hakimuni sawa Pep baada ya kile kipigo gemu ya Newcastle naona jamaa alikimbilia kanisani kutuombea mambaya..
mpira ndivyo ulivyo huwezi sema Citi ashinde zote na sisi tushinde zote aafu tutegemee kua mabingwa..
hapa ni kwanza tushinde mechi zetu zote hope that is damn possible aafu Citi akipoteza tutashukuru zaidi hivyo maombi yetu yatakua yamesikika...
tuwekeze zaidi kushinda gemu zote aafu ndio la Citu kupoteza...hizi gemu za Vs Spurs, Chelsi na Southmpton si salama sana bt am positive we il come on top..
Sent using Jamii Forums mobile app