Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hello Kops kwa wale Liverpool feki na halisi pia.

Leo ni siku yetu ya kubaki on top permanent, siku muhimu inayoenda kupalilia mbegu ya furaha yetu ya 13 may mwaka huu.

Fulham anaenda kumuuwa City, iwe isiwe either kwa draw au kipigo cha mbwa koko, Man city anaenda kupunguzwa na kuwa nyuma yetu.

Tukutane badae kufurahia. #YNWA
Let us wait and see

90' talk

13SEPTEMBER
 
Hata uwe mdogo vipi huwezi kukubali kufungwa mechi 2 mfululizo nyumbani kwako.

Kijana wetu Babel ataenda kutushangaza #YNWA
 
Mchana wa leo nahisi kuna kitu sio Cha kawaida kitatokea craven cottage,(MAITI INAMNG'ANG'ANIA MUOSHAJI.)

#YNWA#

Sent using Jamii Forums mobile app
Hello Kops kwa wale Liverpool feki na halisi pia.

Leo ni siku yetu ya kubaki on top permanent, siku muhimu inayoenda kupalilia mbegu ya furaha yetu ya 13 may mwaka huu.

Fulham anaenda kumuuwa City, iwe isiwe either kwa draw au kipigo cha mbwa koko, Man city anaenda kupunguzwa na kuwa nyuma yetu.

Tukutane badae kufurahia. #YNWA
Ni vyema mkaifikiria game yenu ya kesho wakuu..!
Hii ya City ipuuzieni tu..!
 
Hello Kops kwa wale Liverpool feki na halisi pia.

Leo ni siku yetu ya kubaki on top permanent, siku muhimu inayoenda kupalilia mbegu ya furaha yetu ya 13 may mwaka huu.

Fulham anaenda kumuuwa City, iwe isiwe either kwa draw au kipigo cha mbwa koko, Man city anaenda kupunguzwa na kuwa nyuma yetu.

Tukutane badae kufurahia. #YNWA
Haaaaaa wacha weee shughuli imeshaanza huko.
Msimu huu mtaishia kubeba ndoo ya mavi tu
 
Hello Kops kwa wale Liverpool feki na halisi pia.

Leo ni siku yetu ya kubaki on top permanent, siku muhimu inayoenda kupalilia mbegu ya furaha yetu ya 13 may mwaka huu.

Fulham anaenda kumuuwa City, iwe isiwe either kwa draw au kipigo cha mbwa koko, Man city anaenda kupunguzwa na kuwa nyuma yetu.

Tukutane badae kufurahia. #YNWA
Hahaaaa badala uwafikilie kina kane, son watakavo wafanya kesho, unamwombea njaa gardiola

Kashapigwa 2-0 fulham hawezi lolote kwa city,

Mwaka huu hamtapata kombe lolote kwa style hii...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na wasiswasi na wewe kungia BIG FOUR msimu huu na itakua msimu wa pili mfululizo mpo Futuhi..

Shinda ya kucheza Futuhi ni kama ina nuksi ikikupenda imekupenda kila ukipambana unashangaa nafasi ni ile ile ya 6..
Sisi tutabeba Europa tena ..wewe upo ueropa misimu zaid ya minne na hukubeba hata moja..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchana wa leo nahisi kuna kitu sio Cha kawaida kitatokea craven cottage,(MAITI INAMNG'ANG'ANIA MUOSHAJI.)

#YNWA#

Sent using Jamii Forums mobile app
Hello Kops kwa wale Liverpool feki na halisi pia.

Leo ni siku yetu ya kubaki on top permanent, siku muhimu inayoenda kupalilia mbegu ya furaha yetu ya 13 may mwaka huu.

Fulham anaenda kumuuwa City, iwe isiwe either kwa draw au kipigo cha mbwa koko, Man city anaenda kupunguzwa na kuwa nyuma yetu.

Tukutane badae kufurahia. #YNWA
Naona hapa mliteleza kidogo,vipi kuhusu kesho..!?
Mnaweza kutuambia nini kitatokea Anfield..?
 
Baada ya Kuwa kimya kwa Majuma Karibia Mawili kutokana na Kuwa Mimi si Mshabiki Wa Timu Za Taifa, leo nimeamua kurejea Kwenye Uzi huu Na Nimekuta kuwa ile kauli ya Man City Atadrop Points" inaendelea kuwamisslead washabiki wenzangu wengi tu.

Wakuu haya ni Mawazo yangu:

√ Liverpool yupo katika uwezekano mkubwa zaidi wa kudrop more points kuliko Man City.

√ Ubingwa unapatikana kwa Kushinda Mchezo yako na si kusubiri Man City adrop points.
 
Baada ya Kuwa kimya kwa Majuma Karibia Mawili kutokana na Kuwa Mimi si Mshabiki Wa Timu Za Taifa, leo nimeamua kurejea Kwenye Uzi huu Na Nimekuta kuwa ile kauli ya Man City Atadrop Points" inaendelea kuwamisslead washabiki wenzangu wengi tu.

Wakuu haya ni Mawazo yangu:

√ Liverpool yupo katika uwezekano mkubwa zaidi wa kudrop more points kuliko Man City.

√ Ubingwa unapatikana kwa Kushinda Mochezo yako na si kusubiri Man City adrop points.
Ni miujiza tu ndio itasababisha tunyanyue kwapa. Sioni ni kwa namna gani itawezekana. Tuendelee kuwatia pressure mpaka mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom