Hello Kops kwa wale Liverpool feki na halisi pia.

Leo ni siku yetu ya kubaki on top permanent, siku muhimu inayoenda kupalilia mbegu ya furaha yetu ya 13 may mwaka huu.

Fulham anaenda kumuuwa City, iwe isiwe either kwa draw au kipigo cha mbwa koko, Man city anaenda kupunguzwa na kuwa nyuma yetu.

Tukutane badae kufurahia. #YNWA
Uliandika uku umebana makalio kabsa wakati unaandika ujinga tu
 
Leo ni kuiombea mema liva tu hamna namna...Na kesho tumpige newcastle....Maisha hayaendi bila fitna

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Wee pambaña ushike nafasi ya tatu maana Europa sisi tunachukua..

Japo leo spurs atashinda..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya Kuwa kimya kwa Majuma Karibia Mawili kutokana na Kuwa Mimi si Mshabiki Wa Timu Za Taifa, leo nimeamua kurejea Kwenye Uzi huu Na Nimekuta kuwa ile kauli ya Man City Atadrop Points" inaendelea kuwamisslead washabiki wenzangu wengi tu.

Wakuu haya ni Mawazo yangu:

√ Liverpool yupo katika uwezekano mkubwa zaidi wa kudrop more points kuliko Man City.

√ Ubingwa unapatikana kwa Kushinda Mchezo yako na si kusubiri Man City adrop points.
upo sahihi kutegemea Citi apoteze ili tunyakue ndoo basi ni kupoteza muda.....inatakiwa tushinde mechi zetu zote zilizobaki endapo Mciti watapoteza inakua ni blessing in disguise.
 
upo sahihi kutegemea Citi apoteze ili tunyakue ndoo basi ni kupoteza muda.....inatakiwa tushinde mechi zetu zote zilizobaki endapo Mciti watapoteza inakua ni blessing in disguise.
Unajua nn captain,swala la kutokuiombea mabaya city haliepukiki maana hata tukishinda mechi zote zilizobaki na wao wakishinda zao basi wao mabingwa...so tunashinda halafu tunaanza kuombea mabaya ndio tunachofanya Sasa!!!na si unakumbuka hata wao walikuwa wanaomba hivyo hivyo kipindi tuna point nyingi juu so twende tu pamoja na KAMATI YA ROHO MBAYA

ni sawa Pep baada ya kile kipigo gemu ya Newcastle naona jamaa alikimbilia kanisani kutuombea mambaya..
mpira ndivyo ulivyo huwezi sema Citi ashinde zote na sisi tushinde zote aafu tutegemee kua mabingwa..
hapa ni kwanza tushinde mechi zetu zote hope that is damn possible aafu Citi akipoteza tutashukuru zaidi hivyo maombi yetu yatakua yamesikika...

tuwekeze zaidi kushinda gemu zote aafu ndio la Citu kupoteza...hizi gemu za Vs Spurs, Chelsi na Southmpton si salama sana bt am positive we il come on top..
 
Back
Top Bottom