hongera sana ndugu...japo mechi hii imedhihirisha umuhimu wa VAR msimu ujao
kwa kutegemea Hazard pekee ndio mbebe Europa...ningependa fainali ukutane na GanazWewe ushapoteza muelekeo maana huna uhakika wa kubeba kombe lolote tena ..
Sisi tuna uhakika Europa tutabeba ..
Sent using Jamii Forums mobile app