Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,590
- 81,565
Hahaha asee. Kashasha tena? Yule ni mwalimu bwana mimi sijui kitu najifunza soka. [emoji119][emoji16]Mkuu kuna sehemu ume flow hapo nkahisi kama naisikia sauti ya mwalimu Kashasha [emoji3][emoji1][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16]View attachment 1045309
The only way to win EPL is not for City to drops a point! But is for Hendo to stay injured till the end of the season.
Hope tomorrow I will hear "Hendo is out for the rest of the season".
Ulifuta comment wakati Salah yako ilishaenda?
Asante kwa kwa Salah yako imefanya yule Boya akose mchezo wa Jana na tukapata points 3.
NOTE:
Kwa Mara ya Kwanza UCL 2018/19 tunashinda AWAY baada ya kucheza bila ya Hendo.
Hapo kweli mliwaweza, fabinho alivuruga hapo kati na mkatengeneza nafas nyingi kupitia salah,Mkuu World Class Coach yeyote kwa Jana anapaswa kuilalamikia injury ya Hendo Jana kuwa iliwakosesha Bayern ushindi...
Guess angelikuwemo Hendo unadhani kina Martinez, Rodriguez na Lewando Jana wangelituacha salama? Yani kwa Hendo na Milner Wangelijitawalia tu pale kati!
Lakini baada ya kuumia Hendo na kuingia Fabinho Plan yao imeharibika na wakashindwa kuicontrol Midfield.
Mm naomba manyua apewe liver , au manyua apewe man city,Kwenye DRAW keshokutwa ndio mtihani.
Watakutanishwa timu mbili za Mwingereza ili wapungazane kwanza.
Utabiri wangu LIVERPOOL atakutanishwa na MANCHESTER CITY
Waingereza kukutana haikwepeki.Mm naomba manyua apewe liver , au manyua apewe man city,
Japo manyua huwa wanajiamin.sana wakicheza na liver ila sio michuano ya nje ya EPL,
Ujue manyua akiachwa acheze na kina Porto au Ajax, huku mtaani hatutapata raha
Ikiwezekana kabisa manyua apewe barca ,
Ila sion tena liver akipewa city, japo kuna asilimia kubwa waingereza wakakutana ili wapunguzwe
Sent using Jamii Forums mobile app
UEFA watengeneza hela mpaka sasa tayar wana mech zao washajua zakutengeneza mkwanjaWacha tusubiri hiyo yaumul jumaa tutapata majibu
Man usiombe ukutane na watetezi wake siku inakua mbaya
Jana wakati anachechemea nikasema 'Yes'
Kikubwa timu ya madaktari isituangushe kwenye majibu yake
ngwaba unavyomsakama hendo utadhani mke mwenza mmoja anavyomsakama mwenzake
Basi humu ni vicheko tu...
Nini kimemkuta salah??
Man C Vs ManureMm naomba manyua apewe liver , au manyua apewe man city,
Japo manyua huwa wanajiamin.sana wakicheza na liver ila sio michuano ya nje ya EPL,
Ujue manyua akiachwa acheze na kina Porto au Ajax, huku mtaani hatutapata raha
Ikiwezekana kabisa manyua apewe barca ,
Ila sion tena liver akipewa city, japo kuna asilimia kubwa waingereza wakakutana ili wapunguzwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko Kovac: "We had a strong opponent and we have to congratulate Liverpool and Jürgen Klopp. They were better in these two matches and we deserved to lose. Liverpool is a top team in Europe and they showed us our limits."
Sent using Jamii Forums mobile app