Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp katu-prove wrong.
Pongezi kwa kops wote, muwe na usingizi mnono.

YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app

How bro?

If anything yeye ndiyo kajiprove wrong.

Hendo asingeumia, sahiv tungekuwa tunaongea mengine humu,

He had to change the entire set up baada ya Hendo kuumia.

Sie tunaeamini katika MUNGU, tunasema Mungu kamuonesha kitu leo kocha wetu.


He proved himself wrong.
 
Hongereni baada ya real kutoka kila team inaweza beba ndoo ila navyojua uefa walivyo na fitina lazima Team za epl zikutane
Hilo la kukutanishwa hata mimi nimeliona pia.

Watakutanishwa wawili, LIVERPOOL na MANCHESTER CITY
 
The UEFA Champions League quarter-final and semi-final draws will both take place at the House of European Football in Nyon, Switzerland, on Friday 15 March.

Confirmed quarter-finalists

Ajax (NED)

Manchester United (ENG)

Porto (POR)

Tottenham (ENG)

Juventus (ITA)

ManCity (ENG)

Barcelona (SPN)

Liverpool(ENG)

When the matches will take place
9/10 April: Quarter-finals, first leg

16/17 April: Quarter-finals, second leg

30 April/1 May: Semi-finals, first leg

7/8 May: Semi-finals, second leg

Saturday 1 June: Final – Estadio Metropolitano, Madrid
 
How bro?

If anything yeye ndiyo kajiprove wrong.

Hendo asingeumia, sahiv tungekuwa tunaongea mengine humu,

He had to change the entire set up baada ya Hendo kuumia.

Sie tunaeamini katika MUNGU, tunasema Mungu kamuonesha kitu leo kocha wetu.


He proved himself wrong.
Wote tuseme Ahsante kwa injury ya Hendo..

That faby battle with Alcantara Toe to toe
helped vvd & matip to disallow shots from Lewando...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye DRAW keshokutwa ndio mtihani.

Watakutanishwa timu mbili za Mwingereza ili wapungazane kwanza.

Utabiri wangu LIVERPOOL atakutanishwa na MANCHESTER CITY
Liverpool wangepangwa na manure ili kelele ziishe kabisa..

Hope wapanga ratiba wataskia maombi yangu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom