Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yani hapa unaona wazi kwenye mechi ya leo kuwa Maamuzi ya Klopp katika kupanga kikosi ndiyo yanayoamua mechi tushinde au tusishinde!

kulikuwa na sababu gani ya game ya leo kumuanzisha bench Fabinho?

Hivi asingeumia Hendo pale kati bil ya fabinho si tungetafutana!
 
Klopp katu-prove wrong.
Pongezi kwa kops wote, muwe na usingizi mnono.

YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app

Haja tuprove wrong Mkuu! Fabinho ndiyo kamprove wrong klopp kwa kuto kumuamini

Kumbuka tulichokuwa hatukitaki ni Combo ya GINI-HENDO-MILNER
Lakini hii combo imepanguka baada ya kuumia Hendo

Ndiyohapo tukashinda

Nakuhakikishia kwa combo ile ya mwanzo bila ya kuumia Hendo tusingelishinda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom