Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Watani hongereni naona mmemaliza vizuri vita ya chini chini kati ya mwingereza na jeremani maana wale O4 na dortmund nanyi mmetuwakilisha vyema .timu nne kuingiza robo sio dogo hilo? (In wapemba voice )
 
Mkuu wachezaji hawa ambao sio World class kuna vipindi wanakuwani off-form, hata TAA mwanzo wa huu msimu alikuwa ni shit player lakini sasahivi yupo vizuri
Sasa na huyu Robbo sasahivi ni shit lakini atarudi katika form kama TAA
ni sahihi kabisa wakti TAA alikua off form ndogo alikua on fire...

katika vyote ni yale makosa yake tu kushababisha goli la Leister na Hammers na baada ya hapo ni kama alijiona mkosefu sana kiwango ghafla kikaelekea siko bt mabeki wenzie wamesimama nae mpaka sasa anajikongoja...
 

Vipi mzee wa Winner Players ! Je Bayaern kawapumzisha winner players wake na kuingiza timu B icheze na Liverpool?
Sasa vipi kuhusu Boateng na Lewando leo wamesahau how to win kwenye hii stage?

Endelea kuamini Hisia zako kiongozi
 

Tuachekulaumu tushangilie kwanza ushindi.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sadio mane Ni shida..na ntaendelea kusema milele huyu jamaa hapewi sifa anayostaili...
Salah anajitahid ila bado hayupo sawa tungepata goli zaidi ya tatu Leo..
Naiona fainali JUVE VS LIVERPOOL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watani hongereni naona mmemaliza vizuri vita ya chini chini kati ya mwingereza na jeremani maana wale O4 na dortmund nanyi mmetuwakilisha vyema .timu nne kuingiza robo sio dogo hilo? (In wapemba voice )
Kwenye DRAW keshokutwa ndio mtihani.

Watakutanishwa timu mbili za Mwingereza ili wapungazane kwanza.

Utabiri wangu LIVERPOOL atakutanishwa na MANCHESTER CITY
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…