msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,708
- 8,846
Ni moja kati ya mechi mbovu naangalia yani
Kwanini Mzee.Ni moja kati ya mechi mbovu naangalia yani
Amina mkuuGod bless liverpool team.
Hongereni mapafu yashazeeka hawa ma babuWazee pumzi ishakata hawa, hii game tunavuka tayari.
Naona baada ya Ribery kutoka Liverpool wameongeza mashambuliziWazee pumzi ishakata hawa, hii game tunavuka tayari.
Yamekuwa hayo tena
Ni moja kati ya mechi mbovu naangalia yani
Mkuu kwema huko?Mnasakwa hadi mnajifunga