Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

March
√ 17 – Fulham (A)
√ 31 – Tottenham Hotspur (H)

April
√ 5 – Southampton (A)
√ 14 – Chelsea (H)
√ 21 – Cardiff City (A)
√ 27 – Huddersfield Town (H)

May
√ 4 – Newcastle United (A)
√ 12 – Wolverhampton Wanderers (H)
 
well spoken.

let's criticise our team, let's not belittle them!
 
Its time to step up on the gas again!! The lads have got to give their best
 

Mr Trash!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Baada ya "Nani hayaogopi majogoo" kuwa "Nani anayaogopa majogoo" imebidi apunguze.

Maana hata kumtetea Hendo na kusema Klopp is better than Pep hawezi tena.

Klopp anachukua EPL
Weka nusu ya hela ninayo weka mm
Tumpe mtu ashike
Kama ni laki 5 ww toa laki mbili na nusu tu.
Klopp is better than Pep tena sio hata close!
Refa watachoka kuwabeba Man City na muda si mrefu toka sasa!We beat Spurs and Chelsea home,we are EPL champs.
Hendo is our Captain,mtu anaye aminiwa na klopp mm naweza kuwa na wasi wasi nae?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Klopp is better than Pep tena sio hata close!

Sent from my iPhone using JamiiForums

Kwa jinsi ninavyoiamini reasoning yangu, na kwa jinsi ambavyo ninaamini kuna watu wanaamini kwamba nina akili timamu.

Ni aibu kwangu na kwa watu wanaoniamini kukutwa ninabishana na mtu anayeamini hicho nilichoki-quote.

It's a disgrace to football fans and to the game itself to even put them into the same class.
 
Wakuu hongereni kwa kupambania kombe ila huyu ndugu yenu Salah ninawahakikishia kuchelewa kufanya maamuzi kutawaghalimu sana ingekuwa Big mechi tusingeona goli la la pili la Mane na la tatu la Bobi mabeki wangeokoa yeye angeendelea kupiga usingizi.

Football is team work, everyone is there to cover each one's back.

It ain't a concern to us as much as he is attributing in other way.
 

Nilidhani nimeona peke yangu kumbe na wewe umeona?
 
√ Southampton
√ Spurs
√ Chelsea


Hizi mechi si za kuzibeza hata kidogo
Tusihadaliwe na performance ya jana
Burnley mara hii hawana msimu mzuri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…