Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wakuu. Klopp aondoke tulete Mourinho tumpe miaka 3 at any cost atatupa ubingwa. Kuliko mpumbavu Klopp.

Sent using my Nokia Torch
Morinho hata now akipewa timu ninauhakika atafanya kitu maana jamaa anajua kushika na mbinu zote za kukimbia mpk alishike kombe sio ule upuuzi anao fanya klopp na waingereza wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee wa ku-bottle...mpaka Fulham are making fun of you!!
 

Attachments

  • C7701471-4AC2-419C-9742-8404E14D8F99.jpeg
    C7701471-4AC2-419C-9742-8404E14D8F99.jpeg
    49.7 KB · Views: 23
Karibuni tu Washabiki wa Man United walilia usiku na Mchana kuwa Mourinho afukuzwe..
Baada ya kufukuzwa walisema kufukuzwa kwake hakutoshi bali anapaswa apelekwe the Hague akafunguliwe Mashtaka.
Wengine walimwita Muhuni wa Kimakonde.

Hawakujitokeza wakasema "Je Kwani Nafasi anazozikosa Lukaku munataka Mourinho akafunge yeye?"
Hawakusema Kuwa "Kwani Kamkamata Miguu Lingard asifunhe?"
Hawakusema kuwa "Kukosa kwa Rashford Mourinho anahusika vipi? Kwani anacheza yeye?"
Hawakusema kuwa "Nafasi aliyokosa Sanchez je Mourinho angefunga yeye?"

Lakini leo wameshasahau wanatufundisha sisi kuwa tusimlaumu kocha!!
Leo wanatufundisha kuwa anayekosa magoli ni Salah si Klopp..
Wao wameshasahau kuwa aliyekosa Magoli ni Lukaku si Mourinho.

Umbumbumbu si mtaji kwakweli

Alipowafikisha klopp mnatakiwa mtoe salute kwake team ina magari moshi mengi sana anahitaji madirisha mengine 2 kupata kikosi cha kushinda EPL.
 
Hivi tangu huu uzi umeanzishwa mlishawahi kushinda kikombe chochote kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom