Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

i'm so sure we'll be top of the league in two weeks time..

we have got Burnley and Fulham next (both winnable, no excuses)

City watakuwa na Kiporo against United, and game yao na cardiff inaweza kuwa postponed kama wakishinda dhidi ya swansea kwenye FA cup..

so tutakuwa na advantage ya kuwa ahead of them especially watakapoenda OT.

but that is big IF, as i can see us dropping a lot of points from now on, unless Klopp aje na approach mpya kuhusiana na performances.
 
Mkuu hata mie nimesikitika kwa hilo, sio kila chance lazima afunge lkn midfielders wakitengeneza chances nyingi naamini ktk kila chance 5 hawezi kukosa walau goal 1.

thats how it works man

chances nyingi ndiyo zinaleta uwiano wa magoli mengi.

Aguero huwa ana-miss a lot of chances, but anafunga sana at the same time because anatengenezewa nafasi nyingi sana..
 
Jana kocha katuangusha vibaya sana, kweli unatafuta ushindi halafu unapanga viungo walinzi wote? kanimaliza alivyomtoa Gin na kumuingiza Milner nikajuwa jamaa hayuko serious. nilitegemea kuongeza viungo washambulizi Shakir na Keita. pale acheze Fab au Ander hawawezi kuwa wawili pamoja, na mimi nasema Fab acheze captain ni back up tu. sasa tuombe kudra tu maana huwezi kushinda league na Ander kama Midfilder pass zake ni kama robot. nampenda Klopp lakini kwa jana hapana huyu mzee atatupa ugonjwa wa moyo kwa kweli. tactic alikuwa wrong 100%

Ndio maana mimi kama mimi naungana na mashabiki wengine wanaosema kuwa jamaa akishindwa kuchukua EPL title ya msimu huu aondoke maana sioni excuses kwa mtu kushindwa kuchukua kombe lolote kubwa kwa misimu minne kabisa akiwa na klabu kubwa hii
 
Na ndio maana asilimia 95 ya raia duniani hawataki mchukue maana mna miaka zaidi ya 30 hamjabeba epl ila mnajiona kama nyie ndio mna hati miliki ya kuchukua msimu huu. The wait is still on buddy!
 
Na anaweza akachukua pia,kama akichukua mi nitaendelea kumuunga mkono abaki miaka mingine

Gap linasoma point moja zikiwa zimebaki mechi tisa and anything can happen probabibility ya kuchukua ni kubwa tu, unaweza ukaumia roho sana come may 2019 ukijipa matumaini ya 100% kuwa hatuchukui msimu huu
 
Liver hawezi beba kombe.
Mnamtegemea salah, nae pumzi imekata.
 
Kwani toka aanze kucheza mpira hajawahi kufunga?

Kiungo gani pale LFC tuseme ana japo hata goli tano?

Non-holding Midfielders wa City huwa wanapiga goli 9+ na maassist kibao njoo sasa uassess Midfielders wa LFC kwenye assists na magoli kama hupati simanzi
 
Tunawananga sababu ya upinzani lakini mnyonge mnyongeni na haki yake mpeni

Hivi Klop pamoja na mzigo wa lawama mnaompa, je yeye ndio angefunga zile nafasi 2 za Salah, au ile ya Fabinho?

Halafu hapa kuna mambo 2.

Jambo la 1 inaonekana Klop nyota yake inakinzana na kuchukua makombe,

Lakini jambo la 2 hata Liverpool kama timu inaonekana mnapolikaribia kombe especially la EPL mna panic (mnakuwa na kitete) jambo ambalo nadhani ni psychological

Kwahiyo haipaswi lawama zote kuwa down to Klop wazee.

Kiufupi hakuna kazi rahisi kama kulaumu

Lazima mliangalie hili suala kwa kina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibuni tu Washabiki wa Man United walilia usiku na Mchana kuwa Mourinho afukuzwe..
Baada ya kufukuzwa walisema kufukuzwa kwake hakutoshi bali anapaswa apelekwe the Hague akafunguliwe Mashtaka.
Wengine walimwita Muhuni wa Kimakonde.

Hawakujitokeza wakasema "Je Kwani Nafasi anazozikosa Lukaku munataka Mourinho akafunge yeye?"
Hawakusema Kuwa "Kwani Kamkamata Miguu Lingard asifunhe?"
Hawakusema kuwa "Kukosa kwa Rashford Mourinho anahusika vipi? Kwani anacheza yeye?"
Hawakusema kuwa "Nafasi aliyokosa Sanchez je Mourinho angefunga yeye?"

Lakini leo wameshasahau wanatufundisha sisi kuwa tusimlaumu kocha!!
Leo wanatufundisha kuwa anayekosa magoli ni Salah si Klopp..
Wao wameshasahau kuwa aliyekosa Magoli ni Lukaku si Mourinho.

Umbumbumbu si mtaji kwakweli
 
Mkuu nadhani umekomenti kuhusu maoni niliyotoa hapo juu

Lakini nadhani hukufuatilia maoni yangu kuhusu mwenendo wa Jose.

Mimi sio shabiki mkubwa wa Jose lakini always nimekuwa najaribu kuwa fair kwa Jose

Nimewahi kumkosoa Jose. Nimewahi kumkosoa Pogba. Nimewahi kuwakosoa akina Sanchez, Lukaku et. al. Nimewahi kuwakosoa Ed Woodward, pia nimewahi kuponda hata Glazer family (Na hapa tutofautishe kati ya kukosoa na hate, insults n.k)

Lakini huwa ninajitahidi kuwa mkweli, yaani kwenye sifa nasifu na kwenye uozo naponda.

Hata Klop huwa ninakubali namna timu zake zinavyocheza lakini huwa sikubali record yake kwenye kutwaa makombe (nadhani ni mentality issue).

Lakini the truth must be told mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibuni tu Washabiki wa Man United walilia usiku na Mchana kuwa Mourinho afukuzwe..
Baada ya kufukuzwa walisema kufukuzwa kwake hakutoshi bali anapaswa apelekwe the Hague akafunguliwe Mashtaka.
Wengine walimwita Muhuni wa Kimakonde.

Hawakujitokeza wakasema "Je Kwani Nafasi anazozikosa Lukaku munataka Mourinho akafunge yeye?"
Hawakusema Kuwa "Kwani Kamkamata Miguu Lingard asifunhe?"
Hawakusema kuwa "Kukosa kwa Rashford Mourinho anahusika vipi? Kwani anacheza yeye?"
Hawakusema kuwa "Nafasi aliyokosa Sanchez je Mourinho angefunga yeye?"

Lakini leo wameshasahau wanatufundisha sisi kuwa tusimlaumu kocha!!
Leo wanatufundisha kuwa anayekosa magoli ni Salah si Klopp..
Wao wameshasahau kuwa aliyekosa Magoli ni Lukaku si Mourinho.

Umbumbumbu si mtaji kwakweli
Dah mkuu na kunitukana juu.

Poa bhana. I'm trying to understand how u feel.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom