Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,319
- 11,008
Mambo ni mengi,muda ni mchache...Huo ndio ukweli maana japo jana tumefungwo tukumbuke pia tulipata nafasi za kufunga japo hatukutumia vyema na hatimae kufungwo...
hivyo ukweli wa kuchukua EPL upo pale pale hakuna kingine ni mwendo tena wa kugawa dozi...
YNWA.
[emoji16] Do I kill my self or do I throw away my phone?
kazi ipooo...
congrats to th Blue corner wamecheza kutuzima tusichukue pointi tatu muhimu
Mkuu yo bringing some relief in my pain 😀😀I will do Ulozi to anyone who said "Tuendelee Kushikamana Tupo pazuri".
They are hiding somewhere waiting to see Liverpool winning one game and come out from hiding to claim "Klop is world Class manager" "Klopo is better then PEP" and more blah blah..
Hivi kwa mfano Pep ndo kocha pale Liverpool, Henderson hata bench angekuwepo, milner angekuwepo??? Nawaza tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaaah...
I said this before Everton will give a free three points to Man City and will play against Liverpool like attacked Hyena fighting for his life
Ubingwa ndio basi tena. Kwa matokeo haya moja kwa moja yanawakatisha tamaa wachezaji wetu. Maana tulikuwa nyuma tukapigana tukapanda juu na ile goals difference tukaifuta. Leo tupo nafasi ya pili na tumezidiwa goal 7.Klopp anatupeleka huko kumpigia Citi ramli apoteze..
na nikiangalia mechi za Citi lol labda apoteze au adraw mechi dhidi ya Spurs, Manu, Crstal palace au Leista...
mbaya sana kutegemea wao wapoteze ndio tuuone mwanga...
kutoka pointi 7 mpaka kua wa pili ndugu ni kama kiwango kinazidi kushuka kila kukicha..
Hapana...It's OK! Save it to prove me wrong
Kwa Mara ya kwanza Natamka Bila ya Woga wowote nikiwa Ninajiamini kuwa "LIVERPOOL FC NDIYE BINGWA WA EPL 2018/2019"
ASIEAMINI ATUNZE HII COMMENT KWA AJILI YA REFERENCE
Salah hivi kweli anajua tunahitaji ubingwa zaidi ya kiatu cha ufungaji bora?
Hivi anajua kuwa akishinda ubngwa na liver hatasahaulika miaka buku kuliko kushinda golden boot?
Hivi salah anajua tunamhitaji zaidi ya anavyohitaji kiatu cha ufungaji?
Hivi salah aoni kuwa ni game ya nne sasa anatukosea?
Dah kuanzia leo namchukia salah na braza ake klopp hawa ni washenzi wapiga deal kwao liver si chochote
Wao ni wapita njia lakini wameamua kutupa vidonda vya tumbo sisi mashabiki
Football genius#soccer manager#gegen presserView attachment 1031561[/Q