Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
yeah ndugu. anasema eti na upepo leo ulikua kikwazo ndio maana so many lost balls i.e Salah n FabihnoHii kwenye press baada ya game!!?
Helloooow..!Wanachoshangilia Opponents wetu hapa si sisi kukosa Ubingwa!
Bali wanashangiria sisi kufungwa tu ili tusiwe Unbeaten.
Lakini Kuhusu ubingwa wanajua wazi kuwa hakuna wakutuchallenge
Mkuu trust me! Tutaendelea hivihivi kuongoza Ligi mpaka mwisho wa Msimu na kubeba ubingwa kabisa.
Klopp anatupeleka huko kumpigia Citi ramli apoteze..Huu mzigo la lawama hakuna wa kuubeba, abebe mwenye Klopp. Mi nadhani aproach ya hii game alitaka sare. Mara nyingi kama sio zote ukiona Heddo kaanza kwenye game muhimu basi ni kwenda kutafuta sare. Na tuimepata.
Sasa ni mwendo wa kuwaombea City mabaya. Tumeshindwa uwanjani tunaanza mambo ya maombi. Kwa jinsi nilivyojisikia vibaya leo, tukiendelea na hii hali ya kucheza kama hakuna tunachotafuta kwa haki kabisa nitahama hii timu.
Keita kamkosea nini Klopp?
Sent using Jamii Forums mobile app
haaaa vip queen mbona unatoa siri za ndaniJuu una Keita, una Xhaqiri, then unaingiza Milner na Lallana?
Hawa Waingereza sijui kama Hawamrifi Klopp 😡😡
Wangekuwepo kiongozi,lakini jukwaani..!Hivi kwa mfano Pep ndo kocha pale Liverpool, Henderson hata bench angekuwepo, milner angekuwepo??? Nawaza tu
Sent using Jamii Forums mobile app
angeshaodoka ndugu sio hata benchi, angeodoka na Yaya toureHivi kwa mfano Pep ndo kocha pale Liverpool, Henderson hata bench angekuwepo, milner angekuwepo??? Nawaza tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Klopp: “Pickford not throwing the ball into his own net at the end of the game cost us our rhythm”
Dadika hendo kwenye timu ya pep hata zoezi haiingiiHivi kwa mfano Pep ndo kocha pale Liverpool, Henderson hata bench angekuwepo, milner angekuwepo??? Nawaza tu
Sent using Jamii Forums mobile app
imekaaa poa sanaaaaa
Haina shida kikubwa pumzi na kufika hiyo may.....Ulituambia mwisho wa Msimu hatutoamini tutachokiona!
Na nikakujibu sio mwisho wa Msimu, Bali hivi sasa ndiyo hatuamini tunachokiona...
But sasa ninakwambia mwisho wa Msimu hutaamini nilichokwambia.
Just continue to say In Klopp You Trust