Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sioni upinzan wowote kati ya liver na evaton kama watu wanavosema ...maana katika gem zote wanazocheza kila siku evaton naona anapigwaga tu

Liverpool FC ilijitenga kutoka Everton FC ndio maana mechi zao ni Derby

Kwa hiyo Everton ni kama 'baba' wa Liverpool, ndio maana upinzani upo na pia zote ni timu kubwa pale EPL

Najua unajua kuwa Everton na Tottenham ni timu kongwe kuliko Manchester City, Cityzens wamepanda ligi kuu miaka sio mingi iliopita ila Tottenham na Everton wapo muda mrefu ligi kuu na hawashukagi daraja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom