Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
kwani nyie mmemchoka naona na kupata Visa nakoshinda kwake...hahitajika kwetu.
kwani nyie mmemchoka naona na kupata Visa nakoshinda kwake...hahitajika kwetu.
Basi inaonekana uwepo wake unawanyiwa makombe. Ngoja nisubiri mwisho wa msimu.kwani nyie mmemchoka naona na kupata Visa nakoshinda kwake...hahitajika kwetu.
hakika ndugu uwepo wake umeijenga Chelsea tunayoiona sasa tangua ajiunge ukizingatia akiwa ndio bilionea namba moja EPL..Basi inaonekana uwepo wake unawanyiwa makombe. Ngoja nisubiri mwisho wa msimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe wachezaji wa Liverpool wanasoma maoni yetu JF jamani tupunguze tunawatoa mchezoni. Ngoja niende msibani... Pia mzee wetu Karudi nyumbani, mambo mengi mda sasa......Umetumia nguvu nyingi kuandika kitu ambacho ungetumia mistari michache ungeeleweka zaidi...sitafuti umaarufu Wala chochote unachohisi ewew nilichoandika ndio mawazo yangu binafsi...Kuna tofauti kujua na kujifanya unajua.wewe unajifanya unajua ndio maana unaziona hizo weakness za huyo VVD,ambazo mm nisiejua chochote sijaziona na Wala siwezi kuzitafuta ili nikuaminishe kuwa najua kuchambua soka...
Endelea na ujuaji wako mkuu na mm ntaendelea na ushabiki wangu wa Liverpool...
NB: naisupport Liverpool katika Hali zote kukusoa saaana ni kuwatoa wachezaji mchezoni ligi kubwa na yenye ushindani Kama epl hasa kipind Cha kuelekea mwisho was msimu huwa ni ngumu ukitaka kila siku upate matokeo unayotaka ewew tu na kubet kwako labda utengeneze ligi na timu zako ila sio kwa epl,an yes nampenda klopp maana kaleta mapinduz na timu imekuwa inaushindani ndani na nje an ofcos ntaumia akitoka ndio mawazo yangu hayo...
Sent using Jamii Forums mobile app
hakika ndugu uwepo wake umeijenga Chelsea tunayoiona sasa tangua ajiunge ukizingatia akiwa ndio bilionea namba moja EPL..
kuna mengi mazuri kawanfanyia hongereni sana, kupitia yeye wamekuja wawekezaji wengine tunawaona leo kwenye EPL na kuzidi kuifanya kua ligi inayotazamwa zaidi duniani...
kukosa uvimilivu na makocha tu ndio hua inanichosha japo ni falsafa yake ni ushindi ushindi wa makombe na si kingine...
sawa tusubiri jamaa wa Ethad watakibidhi kombe letu la EPL Mei 2019
kabisa ndugu asikwambie mtu inauma hakuna mfano kukaa kipindi hiki chote bila ubingwa wa EPLUmenena vyema kabisa mkuu. Timu yako ni kubwa sana kutokana na historia iliyojijengea huko nyuma. Timu zote zinashindana ili kupata makombe, miaka miwili inavumilika ila inapotokea miaka minne hamna kitu kocha havumiliki huyo ni heri tuanze upya kupata changamoto nyingine. Hiki ndicho ninachoipendea Chelsea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Citi kukosa hao wachezaji wawili Fernandihtho, Laporte na kutakua na beki wa kushoto wa kueleweka kutawa cost sana msimu huu..MAONI YANGU BINAFSI:
Kwenye ligi ya Uingereza mwishoni mwa msimu huwa hakuna mechi nyepesi wala timu rahisi..!
Tegemea timu yako kudondosha points kwenye mechi usiyoitarajia...
Man City atadondosha points na Liverpool atadondosha points...
Atakayedondosha points chache kati yao ndiye atakayekua bingwa..!
Ila kuna uwezekano mkubwa wa Man City kudondosha points nyingi zaidi kutokana na kuwapoteza Fernandinho na Laporte..!
Mkuu pamoja na hayo ila huu mfumo kwangu unaniudhi sana. Unaweza kuta timu inafanya usajili mzuri na makombe inachukua ila tatizo lake ni pale timu inakosa consinsitency. Yan kwa mfano msimu wa Conte timu ilikua moto sana tukachukua EPL lakini angalia kilichokuja kutokea msimu uliofuata yan utafikiri siyo bingwa mtetezi. Hiyo inatokana na wachezaji kutumika sana na kutumia nguvu nyingi msimu uliopita wakati wanachukua EPL. Lakini angalia Pep anavyoleta changamoto kama bingwa mtetezi kwa sababu kikosi chake ni kipana.kabisa ndugu asikwambie mtu inauma hakuna mfano kukaa kipindi hiki chote bila ubingwa wa EPL
Uedeshangi wa Chelsi ni Liverpool upo tofauti sana pengine pia kutokana na wamiliki na historia ya timu..
ni ngumu sana kuona kocha akae Chelsi bila kombe na avumiliwe misimu miwili huku akipewa bajeti ya kununua wachezaji anaohitaji..kwa hapo tu nawapa big up n i wish na sisi tungekopi hii falsafa naamini mpaka sasa tungeshachukua EPL tangu 2003 mpaka sasa..maana kocha anaajiliwa anasema nileteeni wachezaji hawa na hawa uzeni siwataki sasa hapo akikosa kuleta mafanikio anakua jipu..
Wamiliki wetu japo wanampa sapoti Klopp kwa kununua wachezaji anaohitaji ila huwezi kuwalinganisha na Roman..Roman yeye ni mpira pesa zaidi..na ndio maana chini yake mmeweza kuchukua EPL 5 na mengine zaidi..
wakati Roman akiwa namba moja Bilionea anaemiliki timu EPL hawa wakwetu wapo nafasi ya tisa au kumi..
Anyways...sijui...lakini kwa upande wangu mimi nipo kwenye mtazamo kuwa hatutegemei City wadondoshe points ili tuwe mabingwa...hatutegemei uzima au majeraha ya Fernandinho...hatutegemei uwepo au kutokuwepo kwa Laporte...Firmino kurudi au kutokurudi...Ox kupona pia bado sio factor kuwa mabingwa...Citi kukosa hao wachezaji wawili Fernandihtho, Laporte na kutakua na beki wa kushoto wa kueleweka kutawa cost sana msimu huu..
Na Fernanditho hua anasaidia sana kupoza mashambulizi timu inavyoshambuliwa anajua wapi asimame kwa kweli ni pigo..
Laporte tangu ajiunge na Citi amewafanya kua ngumu sana kuwafunga ni moja ya beki bora kabisa EPL..
Sasa ni kazi kwetu Majogoo kupambana na hali zetu mpaka mwisho wa msimu kujikisanyia pointi za kutosha ili hatimae tuchukue EPL kwa shangwe..
Endapo Firmino akipona mapema na Ox akarejea na kasi ileeee na bila kupata majeraha mapya basi naona njia ya ubingwa kuja kwetu..
Ni kweli bro.Anyways...sijui...lakini kwa upande wangu mimi nipo kwenye mtazamo kuwa hatutegemei City wadondoshe points ili tuwe mabingwa...hatutegemei uzima au majeraha ya Fernandinho...hatutegemei uwepo au kutokuwepo kwa Laporte...Firmino kurudi au kutokurudi...Ox kupona pia bado sio factor kuwa mabingwa...
Ni kila mechi Klopp kuja na plan ya ushindi kwa kutumia wachezaji sahihi kwenye position sahihi....ni Klopp kufanya maamuzi sahihi nani atoke aingie nani muda gani....ni Klopp kuamua vizuri atumie mfumo upi na sahihi kwa wachezaji sahihi kulingana na opponent anayekutana nae...ni Klopp....
Kama hafanyi sahihi hivyo vitu hata man city wakose wachezaji muhimu haitosaidia...hata Ox na Bobby wakiwa fit haitasaidia...watadrop nasi tutadrop...tutapoteza na watashinda.Bado mimi naamini ubingwa upo kwenye maamuzi ya Klopp mwenyewe...sijui lakini
ni dhahiri Conte kumkosa straika aina wa Costa kulimgharimu sana darajani...Mkuu pamoja na hayo ila huu mfumo kwangu unaniudhi sana. Unaweza kuta timu inafanya usajili mzuri na makombe inachukua ila tatizo lake ni pale timu inakosa consinsitency. Yan kwa mfano msimu wa Conte timu ilikua moto sana tukachukua EPL lakini angalia kilichokuja kutokea msimu uliofuata yan utafikiri siyo bingwa mtetezi. Hiyo inatokana na wachezaji kutumika sana na kutumia nguvu nyingi msimu uliopita wakati wanachukua EPL. Lakini angalia Pep anavyoleta changamoto kama bingwa mtetezi kwa sababu kikosi chake ni kipana.
Sometimes naona bora falsafa ya kuwa na kocha mmoja akaijenga timu na kutengeneza timu ya ushindani walau kwa miaka minne timu inakua inasumbua. Falsafa yenu iko poa ikiwa mipango ikaenda safi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnakwama wapi wana liverpool?wataalamu wanasema form is temporary but class is permanent!!Salah angepigwa benchi tu kwa hiki kiwango alichonacho sasa
Nikireview alivyomiliki mpira vizuri pale Fiorentina nashindwa kukubali kuwa ndie Salah huyu huyu
Anyways...sijui...lakini kwa upande wangu mimi nipo kwenye mtazamo kuwa hatutegemei City wadondoshe points ili tuwe mabingwa...hatutegemei uzima au majeraha ya Fernandinho...hatutegemei uwepo au kutokuwepo kwa Laporte...Firmino kurudi au kutokurudi...Ox kupona pia bado sio factor kuwa mabingwa...
Ni kila mechi Klopp kuja na plan ya ushindi kwa kutumia wachezaji sahihi kwenye position sahihi....ni Klopp kufanya maamuzi sahihi nani atoke aingie nani muda gani....ni Klopp kuamua vizuri atumie mfumo upi na sahihi kwa wachezaji sahihi kulingana na opponent anayekutana nae...ni Klopp....
Kama hafanyi sahihi hivyo vitu hata man city wakose wachezaji muhimu haitosaidia...hata Ox na Bobby wakiwa fit haitasaidia...watadrop nasi tutadrop...tutapoteza na watashinda.Bado mimi naamini ubingwa upo kwenye maamuzi ya Klopp mwenyewe...sijui lakini
Mnakwama wapi wana liverpool?wataalamu wanasema form is temporary but class is permanent!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu kweli noma sanaaa...adui yako muombee njaaKey Points:
Mpaka hapo inaonesha wazi kuwa watu wanajilazimisha tu kujipa Matumaini ya Ubingwa lakini wamekata tamaa na timu yao katika kupambania ubingwa that is why tunataka ubingwa kupitia kwa Man City kudondosha points na si kwasisi kushinda mechi zetu.
- Liverpool's Fans wanafurahia majeruhi ya Fernandinho na Laporte
- Liverpool's Fans sasa only Wanatarajia Ubingwa Kwa Man City kupoteza mchezo au Kudraw na so kwa wao wenyewe Kushinda Mechi zao.
- Liverpool'Fans wameconcentrate zaidi kwa Man City kudondosha Points kuliko wao kushinda michezo yao.
i hope tomorow vs th neigbours his class il emerge n silence his critics otherwise i see Kun gettin th golden boots..Mnakwama wapi wana liverpool?wataalamu wanasema form is temporary but class is permanent!!
Sent using Jamii Forums mobile app