Nyie si ndio mmepigwa sita na Manchester?Arsenal ameingia fainali ngap ndani ya misimu hii ya karibuni?
Atleast chelsea ana wastani wa kuingia fainali kila msimu ..
Ndio maana sisi ni wawakilishi wa London..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie si ndio mmepigwa sita na Manchester?Arsenal ameingia fainali ngap ndani ya misimu hii ya karibuni?
Atleast chelsea ana wastani wa kuingia fainali kila msimu ..
Ndio maana sisi ni wawakilishi wa London..
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau kwamba nilimpiga city 6-0 msimu 2007/08..Nyie si ndio mmepigwa sita na Manchester?
Yaani unamaanisha Liverpool akimalizana na Everton tu,mechi zote tisa zilizobaki anashinda..!?
Au una maana nyingine tofauti na hiyo kiongozi..?
Kwani wewe ugumu wa mechi unauangaliaje kiongozi..?Sijakusudia kuwa tunashinda zote..
Nimesema hapana kigumu tena tu! Kwasababu hata tukifungwa au kudraw itakuwa ni kwa uzembe wa kocha hapo lakini hapana mchezo Mgumu kati ya hiyo 9 iliyobakia.
Kwani wewe ugumu wa mechi unauangaliaje kiongozi..?
Ahahaaah...Sijazungumzia ugumu wa Mechi Bali Nimezungumzia ugumu wa Timu
Ahahaaah...
Sawa Kiongozi...
Unajua kuna wakati mambo mengine yanaenda na imani..!
Wewe King Ngwaba unaamini Chelsea na Spurs ni timu nyepesi,lakini Guardiola anaamini hizo ni moja ya timu ngumu duniani(sio Uingereza)..!
Huenda wote mko sahihi..!
Aliyekwambia nimesahau ni nani? Nyie ndio mmepigwa NNE na Bournemouth?
Ahahaaah...Giardiola ni mtu mmoja mbaya sana kwa Mind Game
Anaweza kuyasema hayo lakini ukitazama kwa Undani tokea aje EPL basi anapata matokea Chanya anapocheza Spurs.
Lakini hashindwi kusema Spurs ni timu ngumu.
Umesahau mimi ndio niliyeshinda Anfield msimu huu?Aliyekwambia nimesahau ni nani? Nyie ndio mmepigwa NNE na Bournemouth?
Teh hivi huoni kama una Chelsea hapo.!!Imagine tingelikuwa bado tunaoongoza kwa points zilezile 7 na imebaki michezo hii tuliyonayo sasa:
March
√ 3 – Everton (A)
√ 10 – Burnley (H)
√ 17 – Fulham (A)
√ 31 – Tottenham Hotspur (H)
April
√ 5 – Southampton (A)
√ 14 – Chelsea (H)
√ 21 – Cardiff City (A)
√ 27 – Huddersfield Town (H)
May
√ 4 – Newcastle United (A)
√ 12 – Wolverhampton Wanderers (H)
Hapo tukimalizana na Everton tu sioni timu nyengine ya kutusumbua.
Tungelikuwa sasahivi tunauchekelea Ubingwa
Hawana utofauti na Arsenal hawa.Yani kwa ufupi tangu 2009-2019 miaka 11 ..wamebeba kikombe kimoja tu.
Carabao..
Na mwaka huu wataendeleza rekodi yao..
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea hii iliyopigwa six juziTeh hivi huoni kama una Chelsea hapo.!!
Yan Everton peke ake ndio unaona atakusumbua hapo.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanatimu ya kuleta ushindani kwenye ligi ..sio kuchukua vikombe..
Ndugu Chuga ingekua bora upambane hizi gemu 9 angalau ujitahidi ushinde urudi top 4 maana nyumbani kwa pointi msimu huu hatukosi ndugu...Mmewaotea wavimba macho goli tano mmesahau kwamba nyie ni tia maji tu.
Nakuja apo Anfield kuharibu kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app