Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Na cha ajabu Mpaka sasahivi sijaona Ramlist yoyote hapa akisema Man City leo anadondosha points

Nasubiri kuona kama Brendan atafanya waliyofanya kina Pellegrini (kudroo na sisi), Rafa na Hodgson kumfunga City.

Otherwise City na sisi ratiba iko almost sawa. Tukitoa droo game 1 tu tayari tuko matatani.
 
i hope tomorow vs th neigbours his class il emerge n silence his critics otherwise i see Kun gettin th golden boots..

Mkuu misimu yote iliyopita kilichomkosesha Kun Aguero Golden boot ni injury na sio uwezo wa Mastriker waliokuepo.

Lakini Msimu huu inaonesha injuries zimempungikia kidogo ingawa amecheza michezo michache kuliko Salah.

Kwahiyo kama hatopata injury Mpaka mwisho wa Ligi basi golden boot ni ya Kun wala halina mjadala hilo.

Salah hana uwezo wa kusimama na Aguero linapokuja suala la Kutikisa nyavu.

Hata Harry Kane alibeba Viatu kwasababu Aguero alikuwa injury prone tu.
 
Nasubiri kuona kama Brendan atafanya waliyofanya kina Pellegrini (kudroo na sisi), Rafa na Hodgson kumfunga City.

Otherwise City na sisi ratiba iko almost sawa. Tukitoa droo game 1 tu tayari tuko matatani.

Regardless leo Man City atapata Matokeo gani (Win or Lose)! Chamsingi kesho ni lazima tushinde game kwa njia yoyote ile.
 
Kwani kama mulikuwa Makini Katika Kuangalia game basi mutagundua kuwa tokea game vs Man United timu ilianza kurejea katika performance Yake isipokuwa upangaji wa kikosi tu na game plan ya kocha havikuwa sahihi.
 
Kwahiyo kwasasa timu ipo imara na inaweza kupambana iwapo kocha atajiamini katika upangaji wa timu na kuwa na game plan nzuri.

Kesho kushinda ni rahisi tu kama Klopp atataka tushinde
 
Kinachotakiwa Klopp aongee na Front three hususan (Mane na Salah) kuwa watulivu golini wasiwe na papara ambayo inawapelekea kupoteza mipira hasa pale Salah anapoattempt kudrible, na Manane anapoattempt kushot.
 
Sina Mashaka hata kidogo na Defence yetu ingawa Kuna baadhi ya Washabiki Hawamuamini MATIP lakini kwa upande wangu Matip yupo bora katika Kucheza mpira na kuanza Mashambulizi kuliko hata VVD..

Pia katika Kukaba hajamfikia VVD lakini yupo vizuri kuliko Lovren
 
To be Honest! Kwasasa ninaiamini timu yangu (Liverpool) lakini simuamini kocha wetu (Klopp).

NOTE: Sio kwamba simuamini kwa sababu ya ufundi wake! Hapana! Kwenye ufundi Namkubali kuliko kocha yoyote yule kwasasa isipokuwa Guardiola tu! Kwani PEP kwa sayari hii hana mpinzani kwenye Ufundi....
Klopp simuamini kwenye Maamuzi tu.
 
UBORA WA KLOPP:
Anaweza kuifanya timu yenye average players kama Liverpool ionekane bora na yenye kupambana.
Ni Kocha mwenye kujenga wachezaji waweze kupambana kitimu na kutoa matokeo chanya.
Ana ushawishi wa Kuvutia wachezaji katika kufanya usajili wa Wachezaji wazuri.

UDHAIFU WA KLOPP:
Anashindwa kufanya selection sahihi katika kupanga Kikosi.
Ni muoga wa kuogopa mechi kubwa.
Hajui kufanya Substitution sahihi.
 
Now either ni Man City au Liverpool kucheka mwisho wa Msimu

Waliobakia ni wajibu wao kugombania Top Four kwasasa
 
Kwakaeli Kumuangalia Grujic anavyotandaza Kandanda kule Germany naridhika jamaa kuwa next season lazima arudi Anfield kuongeza reinforcement
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom